Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
207
Reaction score
713
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.

Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
 
Unasema huna mtoto, hujaoa, huna majukumu na una muda mwingi, lakini bado unasubiri maisha yabadilike yenyewe. Ukweli ni kwamba dunia haimzawadii anayesubiri, inamzawadia anayechukua hatua. Ukikaa mbele ya TV kila siku ukisubiri bahati, siku moja utaamka umezeeka huku ukiwa bado unawaambia watu "ninasubiri mabadiliko." Kama kweli unataka maisha bora, anza leo kufanya jambo litakalokusogeza mbele, hata kama ni hatua ndogo.
 
Muda utaongea...
 
Siwezi kukunyima like yangu mkuu. Miaka 40 bado upo kwa Wazazi. Mtoa maada unatuchora au sio.
 
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.

Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Smart phone iphone ngapi vile?
 
Ngoja utafutiwe mwenzio..
 
Back
Top Bottom