yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Yuko wapi?

    Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi. Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia...
  2. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Charles Jangalason?

    Huyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea Bwana Yesu ila na wale ambao bado hawajampokea. NYIMBO ZAKE: Na nyimbo nyingine nyingi...
  3. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Kikwete Vs Hayati Magufuli: Magufuli yuko sahihi kuhusu Katiba Mpya

    Salam! Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake. Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

    Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia. Oscar Oscar ameondoka EFM, Amejiunga na Wasafi kwa signing fee ya shilingi milioni 100. Mshahara wake kwa mwezi ni shilingi...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nick Cannon yuko tayari kuongeza mtoto wa 13 lakini azae na Taylor Swift

    Cannon ambaye ana Watoto mapacha aliozaa na #MariaCarey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema hana uhakika kama anahitaji mtoto mwingine lakini kama itatokea, basi mama wa mtoto anatakiwa kuwa mzuri na wa kuvutia sana. Mtangazaji wa kipindi cha 'The Howard Stern' kinachorushwa na SiriusXM...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Alipokuja mlimdharau mkasema ni Garasa la TP Mazembe FC sasa anatupia mnasema yuko tu kwa Mkopo na atarejea TP Mazembe FC

    Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli. Hapa kaja tu Nusu Msimu tayari anatupia kiasi hiki je, vipi kama nae angeanza mwanzoni wakati Msimu wa Ligi...
  9. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, Profesa Nabi yuko wapi? Au ana tatizo gani?

    Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu. Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha ya kwamba anahudumu kama msaidizi wa Nabi. Ila nataka kujuwa Profesa Nabi amepatwa na tatizo gani...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MwanaJF Bidada "Maserati" yuko wapi?

    Kama sijakosea ID yake , ila Huyu Bidada sijui alibadili ID, Sijui ilikuaje!..Mara ya mwisho kuona ID yake ni 2017 Kipindi najiunga JF niliwahi mshobokea PM, ni Mdada Mzuri, wa Umbo na Sura , Mpole pole with sweet language , Nahisi wa Kishua hivi . Wee Bidada kama upo Hai tusalimiane ...
  11. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

    Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze. Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe. Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
  12. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Macron yuko China kuishinikiza kusaidia amani nchini Ukraine

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani katika mzozo wa Ukraine. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aidha anataraji kuirai China kuacha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  14. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Zumaridi yuko sahihi kujiita mfalme wakati ni mwanamke

    Bila kujali kama anajua au hajui, katika ufalme wa Mungu hakuna Malkia au princess. Kuna mfalme wa wafalme = Yesu na wafalme= Sisi wafuasi wake bila kujali jinsia. Ufunuo wa Yohana 5:10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Kipunje Mwamuzi maarufu wa Ndondo?

    Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar Refa Kipunje akiwa kazini Summary Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha. Sahau hilo la Webb. Tanzania kuna mtu mmoja anaitwa Kipunje. UKIMUULIZA shabiki yeyote wa soka...
  18. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwajiriwa yuko na kiburi, jeuri na majivuno kuliko bosi?

    Habari wanajukwaa. 👤 Waajiriwa ndo maana wanabaki kuwa watumwa wa siku zote maana hata mungu anaona kinachoendelea. Unakuta mfanyakazi anavimba kama yeye ndo boss. 👤 Jeuri, kiburi majivuno daah balaa tupu,uchawa mwingi sema yote ni njaa na kuwa na akili finyu. Any way point ni kwamba...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Former CEO Barbara yuko wapi?

    Hakika huyu alikuwa CEO wa shoka. Enzi zake Simba kulikuwa na vibe sana na mafanikio tele. CEO wa sasa hata jina lake halijulikani. Watu kama Gentamycine and Co wamemwandama dada wa watu mpaka akaamua kubwaga many anga. Sasa waje watueleze wamefaidika nini kwa Barbara kuondoka Simba?
  20. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Komredi Mizengo Pinda yuko wapi?

    Wasalaam, Nimetokea ghafla kumkumbuka sana huyu komredi wangu wa ukweli mzee wa "Piga Tuu" Huyu ndugu yangu baada tu ya kuisha kwa uchaguzi na awamu hii ya tano kuingia madarakani tumekuwa hatumsikii kabisa. Mawaziri wakuu wastaafu wengine kama Mzee Malecela, Mzee Warioba, Mzee Msuya na Mzee...
Back
Top Bottom