yericko nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pretoria: Yericko Nyerere akutana na Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini na kufanya naye mazungumzo

    Taarifa yake hii hapa Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na maafisa wa Ubalozi huo. Nimefanya mazungumzo na Balozi Mbwana kwa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo...
  2. Emaswai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo - mabadiliko katika sekta ya elimu

    TANZANIA TUITATAKAYO MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU. MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa, Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; =================== Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi...
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Naziona Simba na Yanga nusu fainali

    Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Serikali ianzishe customer care service maalum, Wizara ya Habari na Mawasiliano haina manufaa

    Anaandika Yericko Nyerere katika Mitandao yake ya kijamii; "Nashauri Serikali ianzishe kituo maalumu cha huduma kwa wateja (special customer care) mitandaoni ambacho kitapokea shida na matatizo yote ya watz. Wizara ya Habari na Mawasiliano kinadharia haina manufaa kwa umma, na haina tija ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atoa ushauri kwa serikali na TISS zianze kufanya biashara ya taarifa za kijasusi

    Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  13. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Kumekuwa na mkanganyiko kidogo juu ya tofauti ya Jasusi, Shushushu, Kachero, Mpelelezi nk. Kwenye kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi nimeeleza kwa kirefu zaidi juu ya utofauti wa mambo haya muhimu matatu kwa Tanzania ambayo ni lazima kila mtu ayajue na kuyatofautisha kufuatia mageuzi ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Uchambuzi wa Yericko Nyerere Sakata la Kariakoo na Ujasusi wa Kiuchumi (Biashara)

    Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi. Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
Back
Top Bottom