MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,223
- 22,299
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi kuona yale niliyoyahubiri kwa miaka 15 na kuyaandikia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchimi, sasa yanaanza kuzaa matunda.
Nilipongeza uamuzi wa Tz kupeleka majeshi ya ulinzi wa amani DRC, Na leo haya ndio matunda ya Ujasusi wa Kiuchumi.
Well done Community of Intelligence Agencies Of Tanzania (TISS and MI) Well Done Spymaster, Well Done Hon E. President.
Sasa kuna kila dalili njema kwamba Taifa linarejea taratibu na kwa ufanisi kwenye nafasi yake Afrika Mashariki, Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika kwa Ujumla.