yericko nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    PreGE2025 Dkt. Slaa: Minyukano ya kambi za uchaguzi wa Mwenyekiti (Mbowe & Lissu) CHADEMA, sababu ni Mbowe anataka kugombea Urais 2025

    Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇.. TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
  2. G

    Nini kinamsibu Yericko Nyerere hivi sasa? Soma ujumbe wake huu wa 2020 kuhusu Lisu

  3. N

    Habibu Anga: Yericko Nyerere ameniibia makala zangu Facebook huyu dogo ni mweupe na hana Elimu yoyote kama kama ilivyo kwa Mbowe

    Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu. Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
  4. Knock life

    Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  5. M

    Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake. Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa! Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara! Baada ya kumaliza secondary na...
  6. The Palm Beach

    PreGE2025 Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul

    Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique... Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani... Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
  7. Mr Dudumizi

    Kuna uwezekano mkubwa wa Yericko Nyerere kutimkia CCM muda wowote

    Habari zenu wanaJF wenzangu Baada ya kutumika kumchafua Lisu hadharani kwa lengo la kutaka kumdidimiza kisiasa, au kumkatisha tamaa ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa, sasa ni wazi kuwa mbinu zake hizo za kumchafua, kumdidimiza na kumkatisha tamaa zimeshindwa. Hivyo inabidi yeye mwenyewe na...
  8. John Manoni

    UCHAGUZI WA M/KITI CHADEMA: Kama Yericko Nyerere na Ex mayor hawamtaki Lissu kwa nini wasichukue fomu?

    Wanabodi,tangu Mhe.Tundu Lissu atangaze kubadili kusudio la kugombea makamu Mwenyekiti na kutangaza kusudio la kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kumekuwa na maneno mengi mno. Kinachofurahisha ni kusikia mapungufu ya Lissu ya kabla hajatangaza kusudio lake,siku ya mkutano wa kutangaza kusudio na...
  9. Jamiitrailer

    Yericko Nyerere kusifia wenzie wenye ‘connections’ na Abdul ina maana haoni shida wananchi kupewa stahiki zao kwa milango ya nyuma

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

    Kwema Wakuu! Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake. Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu. Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real...
  11. chiembe

    Uchapakazi na uteuzi wa Samia kwa Gerson Msigwa wawakuna Yericko Nyerere na Malisa, wamwaga pongezi

    Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
  12. S

    Yericko Nyerere ashinda tuzo mbili kwa mpigo Afrika 2024

    Mwandishi wa vitabu na mwanasiasa nchini, Yericko Nyerere usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo mbili, ikiwemo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ameshinda tuzo hizo zinazojulikana kama Zikomo Awards katika vipengele vya mwandishi bora wa vitabu Afrika na kiongozi bora wa kijamii. Tuzo...
  13. kibori nangai

    Ushindi wa Yericko Nyerere huko Afrika Kusini ni uthibitisho wa ubaguzi wa watawala wetu kwa Watanzania wasio CCM

    Ndugu wanajamvi, Pokeeni salamu zangu kutoka huku kwetu ORKEJU LOONGISHU wilayani Longido mpaka ulio karibu kabisa na Kenya. Leo usiku uliopia tumemshuhudia Mwaandishi wa Vitabu mashuhuru na mwenye kipaji cha kipekee nchini mwetu na Mwanasiasa maarufu na mwanachama wa chama.kikuu cha upinzani...
  14. Li ngunda ngali

    Yericko Nyerere anadhani Israel ni Tanzania

    Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza. Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu. Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
  15. Erythrocyte

    Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

    Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka. Ametwaa tena Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika, Tuzo ambayo akina Nyambari Nyangwine na...
  16. S

    Yericko Nyerere ashinda tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika 2024

    Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa...
  17. S

    PreGE2025 Yericko Nyerere ashinda Uchaguzi Kigamboni

    Mdau wa Jamiiforums mwanasiasa na mwandishi bora wa Vitabu Barani Afrika 2023 ambae pia anawania tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika kwa 2024, bwana Yericko Nyerere ameibuka kidedea katika Uchaguzi wa Chadema Wilaya ya Kigamboni uliofanyika tarehe 27/7/2024, Yericko ameshinda nafasi...
  18. Erythrocyte

    Pretoria: Yericko Nyerere akutana na Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini na kufanya naye mazungumzo

    Taarifa yake hii hapa Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na maafisa wa Ubalozi huo. Nimefanya mazungumzo na Balozi Mbwana kwa mambo kadhaa wa kadhaa ikiwemo...
  19. Emaswai

    SoC04 Tanzania tuitakayo - mabadiliko katika sekta ya elimu

    TANZANIA TUITATAKAYO MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU. MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
  20. MamaSamia2025

    Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
Back
Top Bottom