yericko nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Hufananii na vitabu unavyosema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Siku Lissu akiondoka CHADEMA tutarudi upya, tatizo ni Lissu siyo mtu mwingine

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu. Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbikizi: Yericko Nyerere aliwahi kusema atakayepigwa kwenye uchaguzi wa ndani wa CHADEMA hakuna kuhama chama, ila leo kiko wapi?

    Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere? Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vita za Afrika zinaendeshwa kiuchawi kwa asilimia kubwa- Yericko Nyerere

    Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili! Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked. Usilolijua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi; Yericko Nyerere asema Tundu Lissu hana hela ya kujiongoza mwenyewe. Hata miezi 2 haifiki, CHADEMA chini ya Lissu itakufa

    Huo ndio utabiri wa Kada wa CHADEMA na mfuasi wa Mbowe akiwataka wajumbe kutomchagua Tundu Lissu kwani hana hata pesa ya kujiongoza mwenyewe hivyo atawezaje kukiongoza chama chenye mamilioni ya wafuasi! Yericko anasema kuwa endapo Tundu Lissu atachaguliwa basi CHADEMA kitakufa ndani ya miezi...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hii ndo inaenda kuwa ajali ya kisiasa kwa Boni Yai, Yericko Nyerere, Ntobi na wengine wote waliojitoa ufahamu na kufanya kampeni zilizokosa staha

    Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa. Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya...
  12. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Ama kweli maisha ni hadithi kama ilivyo kwa Ntobi na Yericko Nyerere

    Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika. Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati mugumu mno huku wakiwaza na kuwazua isivyo kawaida. Tujifunze kuwa na kiasi hasa lijapo suala lihusulo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri Yericko nyerere asiwe mjumbe kamati kuu ya CHADEMA, abakie mwanachama wa kawaida kwasababu hana vigezo

    Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe. Wajumbe ni jicho la wanachama! Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa maamuzi! Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa mkutano mkuu lakini nashauri huyo...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa uchwara Yericko Nyerere katika moja na mbili

    Usinene ukamala! Yericko Nyerere
  15. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

    Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi. Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
  16. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yericko Nyerere amwangukia Tundu Lissu

    Lissu ndio kiongozi pekee asiye na kisasi ndani ya CHADEMA, Pamoja na matusi ya kila namna aliyemtukana Lissu Leo wako pamoja wanacheka na kufurahi, Yakiwa yamesalia masaa machache kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Yericko Nyerere amwangukia Mwenyekiti mpya ajae.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa chadema umetuonesha rangi halisi ya hawa wanaojiita wapinzani

    Huu uchaguzi wa chadema umetuonesha jinsi gani hawa wanaojinasibisha watetezi wa wananchi wapo kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya wananchi! Soka,mawazo,saa nane,mzee kibao, azory,mwangosi na wengine I feel sorry to you kumbe mlikuwa mnatumika as punching bag na hawa top layer wa chadema 🥺🥺🥺
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  20. DOM_LEADER

    JamiiForums Tanzania 'JF members Tunajua sana kuhamasisha behind of PC, tablet, phones but kwenda kwa ground

    WHY? 1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu...
Back
Top Bottom