yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mawazo yangu: Itungwe sheria kuzuia teuzi nyingi za fasta kwa Wakati mmoja

    Anapoingia Rais mpya Kama tulivyoshuhudia kwa Mh. JPM na sasa mama SSH, teuzi nyingi zinafuata. Naona zinaharibu utendaji kwani Strategic plans za nyuma hazitekelezwi na wale Waliokuwa ofisini kwani wanahamishwa hamishwa mno. Pia anapokuja mtu mpya kwa ofisi ataanza na yake, hii siyo sawa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

    Huyu binti ambaye niliwahi kuleta taarifa yake ya kuninyima mzigo licha ya kulala kwake siku 2. Wadau walitoa maoni yao nikawaelewa. Nikambana kwanini alifanya vile akasema ni woga tu( nahisi ni bikira). Nikaendelea naye chatting and so. Kaniomba nimwongezee pesa alipie chumba nikampa ahadi...
  3. JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu kwa Mashtaka ya Ole Sabaya

    Sasa ni dhahiri kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshtakiwa kwa makosa ya jinai. Amefikishwa Mahakamani huko Arusha na kusomewa mashtaka sita. Ninaandika hapa nikiamini kuwa mashtaka ya Ole Sabaya bado ni tuhuma tu hadi pale yatakapothibitishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  5. JamiiForums Tanzania Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
  6. JamiiForums Tanzania Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nimesahau password account yangu ya yahoo

    Habar zenu Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa Nahitaji sana hiyo email yang kwa mda huu Msaada wenu tafadhali
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

    OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO. Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  10. JamiiForums Tanzania Mama nashukuru kwa kuja kwenye mahafali yangu; sikia niliyosomea

    MAMA HAYA NDIYO NILIYOJIFUNZA HUKO CHUONI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel "Mama nashukuru kwa kuja kwenye mahafali yangu, nimefurahishwa sana na ujio wako ingawaje nilitamani Baba pamoja na ndugu zangu nao wangekuwepo, lakini haikuwa hivyo, nafahamu sisi ni masikini tena fukara wenye hasara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mdada niliyewahi mkimbia lodge ndiye Hakimu kwenye kesi yangu leo

    Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania. Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana wana msemo kwamba binti alinielewa baada ya kuonesha kumjali kwa mambo kadhaa. Baada ya usahili...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu yangu Kuu kwanini nimerudi Kuiabudu Mizimu na Kuwachoka Wahubiri wengi wa Kiroho na Matapeli waliopo sasa Tanzania

    Hakuna ambaye kila ' akihubiri ' anakusisitiza Ushike neno na uamini katika Mungu Baba bali wanatulazimisha tuwaamini wao tena 100% utadhani ndiyo Wameniumba GENTAMYCINE wakati kumbe aliyeniumba ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Sasa kama tu 100% ya Wahubiri wa Kiroho ambao ni ' Matapeli '...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Maono yangu kutoka Temple Mount: Ipo siku CHADEMA itaongoza Tanzania

    Shabbati Shalom from Jerusalem, Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na wababiloni, kujengwa, kisha kubomolewa tena na Warumi miaka kadhaa baada ya Yesu Kristo kupaa. Kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu wana CHADEMA wote si tu mmemsikia bali mmemuelewa vyema tu Kada wa CCM Pascal Mayalla

    " Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

    Habari wadau..! Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani. Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu. Hauwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Nina kawaida ya kutumia sana peke yangu

    Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Ninaekereka au Kuchoshwa na hili linaloendelea sasa katika Redio nyingi za Tanzania nipo peke yangu au?

    Unakuta Kipindi fulani ni cha ama dakika 30 au Saa Moja tu lakini Watangazaji wake wote Watano wanataka Kuonesha Umahiri wao katika Kupiga Stori na hapo hapo tena Matangazo ya Biashara yanafululiza na Content husika iliyokufanya usikilize hicho Kipindi unakuja kuipata ndani ya dakika 5 tu...
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapigo yangu ya kizee kuna siku totoz huwa zinajogonga

    Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue. Sometimes nagonga kaunda suti na mokasini za kisasa. Mkononi huwa sikosi magazeti, kwa siku nanunua magazeti kama matano...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza IST yangu

    CC 1290 Year 2005 In Mint condition Full doc. file Bei 9.8m (maongezi yapo) Watsap 0715140001
  20. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Mwanza

    Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari. Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha. Tumefika sehemu Morog kufukia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…