MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,262
- 1,220
Anapoingia Rais mpya Kama tulivyoshuhudia kwa Mh. JPM na sasa mama SSH, teuzi nyingi zinafuata. Naona zinaharibu utendaji kwani Strategic plans za nyuma hazitekelezwi na wale Waliokuwa ofisini kwani wanahamishwa hamishwa mno. Pia anapokuja mtu mpya kwa ofisi ataanza na yake, hii siyo sawa. NASHAURI: ITUNGWE SHERIA KUZUIA TEUZI NYINGI ZA FASTA KWA WAKATI MMOJA