Nimesahau password account yangu ya yahoo

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,606
2,055
Habar zenu

Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa

Nahitaji sana hiyo email yang kwa mda huu
Msaada wenu tafadhali
 
Nilifanikiwa kuikumbuka password
Nashukuru wote mliokuwa na nia ya kunisaidia
 
Back
Top Bottom