Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back)
Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE ๐ฒ๐ฆ MOROCCO ๐ช๐ฝ, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa...
Kwema wakuu?
Ninahitaji kupata passport ya kusafiria ila jina lililoko kwenye nida limekosewa herufi moja tu (badala ya kuishia na herufi โniโ jina la mwisho limeishia na โnโ).
Siko na kitambulisho mkononi kipo mkoani huko na time hii niko DSM. Je, inawezekana?
Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi
Core i7 gen 9
ram 16
hp pavilion
gtx 1650
vram 4gb
ssd 256 ssd sata tb 1
core i7 gen 9
battery 1hours
windows 11
bei 680k serious buyer dm me au 0627796644
inafaa kwa gaming na graphic
Habarini wakubwa,
Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza.
Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single.
Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja
Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha
Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
๐๐ ๐๐จ๐ ๐จ๐๐ข ๐ช๐ ๐๐๐ ๐จ๐ก๐๐ช๐๐ญ๐ ๐๐จ๐๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐ฌ๐๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐๐๐ข๐๐ข ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐๐ฅ๐
Ripoti mpya ya TICGL inaonesha kuwa ongezeko la mfumuko wa bei nchini linaweza kuendelea kuathiri kwa kiwango kikubwa biashara ndogo na za kati (MSMEs), ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ผ ๐ป๐ฑ๐ถ๐ผ ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ด๐ผ๐ป๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฐ๐ต๐๐บ๐ถ ๐๐ฎ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ.
๐น Mfumuko wa bei...
Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu.
Kwa...
Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.
Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅน๐ญ๐ญ. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2โ1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana
Zinaonekana rahisi mbele ya macho lakini football ni mchezo wa matukio yasiyotabirika. Unaweza ukaona option โhii lazima...
Hey people,
Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine
Niliona nifocus na shule na mpira
Ninavyoona moja ya...
Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini?
Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali ๐.
Mshana Jr
Mbaga Jr
Mzee...
Kwanza kabisa niseme hii playbook ni zao la experience ya muda mrefu, na nitaigawa kutokana na umri/tabia ya mwenza wako mchezoni
1.MSHANGAZI MWENYE LOW LIBIDO
Hapa kijana usihangaike sana, chapa bao 2 tu kwa utaratibu huu na utanishukuru.
Bao la kwanza kaa nae missionary, ichape huku...
Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu.
Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
Hapa DUNIANI,
Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" .
Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA .
Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui
Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%
Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%