SAMBOZAM
Senior Member
- May 29, 2026
- 113
- 149
๐๐ ๐๐จ๐ ๐จ๐๐ข ๐ช๐ ๐๐๐ ๐จ๐ก๐๐ช๐๐ญ๐ ๐๐จ๐๐ ๐ ๐๐ง๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐ฌ๐๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐๐๐ข๐๐ข ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐๐ฅ๐
Ripoti mpya ya TICGL inaonesha kuwa ongezeko la mfumuko wa bei nchini linaweza kuendelea kuathiri kwa kiwango kikubwa biashara ndogo na za kati (MSMEs), ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ผ ๐ป๐ฑ๐ถ๐ผ ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ด๐ผ๐ป๐ด๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฐ๐ต๐๐บ๐ถ ๐๐ฎ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ.
๐น Mfumuko wa bei umefikia ๐ฐ.๐ฌ% ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐๐ฝ๐ฟ๐ถ๐น๐ถ 2026 โ kutoka ๐ฏ.๐ฎ% ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐ ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ถ 2026.
๐น Bei ya petrol imepanda kwa ๐ฎ๐ต.๐ฒ% ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ pekee.
๐น Gharama za usafiri zimeongezeka kwa ๐ต.๐ฎ% ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ.
๐น Bei za vyakula zimeongezeka kwa 5.7%.
๐น ๐ด๐ฌ% ๐๐ฎ ๐ฆ๐ ๐๐ nchini hazina upatikanaji wa mikopo rasmi.
๐น 72% ya biashara ndogo zinafanya kazi kwenye sekta isiyo rasmi.
๐น 62.5% ya biashara changa Tanzania hushindwa kuendelea ndani ya miaka michache ya kwanza.
๐ ๐ฆ๐ฒ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ถ๐น๐ถ๐๐ผ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ:
๐ ๐๐ถ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฎ ๐๐ถ๐น๐ถ๐๐ผ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฏ๐ฒ๐ถ ๐๐ฝ๐ฟ๐ถ๐น๐ถ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฒ:
โช๏ธ Viazi vikuu (Cocoyams): +9.0%
โช๏ธ Matunda: +6.7%
โช๏ธ Ndizi za kupikia: +5.3%
โช๏ธ Mihogo mikavu: +4.1%
โช๏ธ Sukari: +2.1%
โ ๏ธ ๐ง๐๐๐๐ ๐ช๐ฎ๐ฟ๐ป๐ถ๐ป๐ด:
Kwa biashara ndogo zinazofanya kazi kwa mtaji mdogo na faida ndogo, ongezeko la gharama za mafuta, usafiri na chakula sio changamoto ya kawaida โ ni hatari ya kupoteza mtaji na kufunga biashara kabisa.
๐ ๐ง๐ฎ๐๐ต๐บ๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐ง๐๐๐๐ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฒ๐๐ถ ๐ฏ-๐ฒ ๐ถ๐ท๐ฎ๐๐ผ:
โข MeiโJuni 2026: Pressure kubwa sana kwa biashara ndogo
โข JulaiโAgosti 2026: Nafasi ndogo ya hali kuanza kutulia kama bei za chakula zitashuka
โข Endapo mafuta yataendelea kuwa juu, kuna uwezekano wa kuongezeka kwa kufungwa kwa biashara ifikapo Q4 2026
๐ก ๐ ๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐ธ๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ง๐๐๐๐ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ:
โ Punguza stock isiyo muhimu
โ Fuatilia gharama za usafiri kila wiki
โ Tenganisha fedha za biashara na matumizi binafsi
โ Tumia group purchasing kupunguza gharama
โ Rekebisha bei kidogo kidogo badala ya kuongeza mara moja
๐ ๐๐ถ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ต๐ผ ๐น๐ฎ ๐ง๐๐๐๐:
โMfumuko wa bei wa 4.0% ๐ช๐ฃ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ ๐ช๐ซ๐ช๐ข๐๐ก๐๐ ๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐จ๐๐๐ง๐ ๐ ๐ช๐๐ฌ๐ ๐ฏ๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐ ๐ค๐ฅ๐ค ๐ฃ๐ ๐๐ ๐๐๐. Lakini kwa majority ya biashara ndogo Tanzania โ zisizo rasmi, zenye mitaji midogo na zisizo na access ya mikopo โ hali hii ni tatizo kubwa kwa uhai wa biashara.โ
๐ Soma ripoti kamili hapa:
TICGL Research Report: Inflation, Rising Costs &MSME Capital Survival in Tanzania - TICGL | Tanzania Investment and Consultant Group Ltd

- Mama lishe
- Wafanyabiashara wa masokoni
- Bodaboda na usafirishaji
- Agro-processing
- Retail shops
- Wafanyabiashara wa bidhaa za chakula