yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    Leo ni Birthday yangu, miaka 25 sina mtoto wala uelekeo wa maisha

    Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula, nikapiga kelele kwa sauti kuu "Happy Birthdaaaaay to meeeee". Ile kugeuka nyuma nashangaa majirani...
  2. amarina

    Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  3. excel

    Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  4. Mohammed wa 5

    Kura yangu itaenda CCM kwa sababu vyama vya upinzani havina nguvu na mvuto period

    Habari za zenu wana jf MImi ni kada wa chadema wa miaka mingi sana tokea nipo O level mpaka chuo na tushapewa sana suspension( kusimamisha shule kwa misimamo yangu ya kisiasa) Kwa haya yanayofanyika nchini ni maigizo tu kwenye siasa hasa vyama vya upinzani ili kuleta demokrasia ya uongo...
  5. Doto12

    Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  6. The Zanzibar Echo

    Mama yangu ananilazimisha niingie uchawini, wakuu nifanyeje

    Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa...
  7. comrade_kipepe

    Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

    Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye...
  8. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  9. H

    Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Nahitaji IST Old Model namba ya usajili yoyote ile but yenye vigezo vifuatavyo: 1. Body iwe nzuri 2. Mwaka wa usajili kuanzia 2017 kuendelea, ili niweze kulipia bima kubwa. 3. Iwe na AC 4. Engine iwe vizuri 5. Gearbox iwe vizuri 6. Ikiwa na bampa kubwa ni vizuri zaidi japo sio muhimu sana...
  10. nzalendo

    Namtafuta kijana wa rafiki yangu

    Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu.... kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara..... HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya...
  11. GENTAMYCINE

    Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  12. D

    Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  13. A glass of water

    Hivi ni kwanini ipo hivi, yaani unakuta hii inajulikana kabisa kwamba ipo hivi alafu inakua vile au mawazo yangu ni tofauti sana?

    Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua na story nyingi sana katika kusoma. Mara Dunia ina mabara saba, mara mto mrefu kuliko yote Dunian...
  14. K

    Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

    Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata? Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
  15. M

    Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  16. Black jackal360

    Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  17. J

    Rais Samia, shupaza Shingo kabisa, Huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu

    Tangu alipochukua uongozi wa nchi baada ya mtangulizi wake kufariki, Rais Samia amekumbana na upinzani mwingi kutoka ndani na nje ya Chama chake. Ndani ya Chama chake wapo ambao hawakutaka Samia aapishwe kuwa Rais kama Katiba inavyosema kwani yeye ndiye alikuwa Makamu wa Rais. Hawa walikuwa na...
  18. 1Africa54

    Eti umeme ukikatika kwangu na jirani yangu professor wa chuo kikuu pia umeme kwake unakatika 🤣🤣🤣

    Wasomi wa tz hawana mbinu za kutatua matatizo Ni documents tu nyingi Zaidi ya hapo umkute msomi wa bongo hasubuhi kwenye magaazeti chakwanza hanunui gaazeti yeye anachambua tu vichwa vya habari
  19. Just Pray

    GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  20. Kimbesa11

    Ndo maana wanaume tunakufa haraka imagine Kuna mtu alikuwa haamini Kama uchaguzi upo haamini October tunatiki ndugu yangu unajipa kisukari bure

    Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari. Haya Taifa lipo na slogan ya...
Back
Top Bottom