yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimevutiwa sana na Subaru Impreza, nafikiri itanifaa kwa matumizi yangu kwa sasa

    Ndugu wananchi, Salaam za upendo wa dhati ziwafikie huko mlipo. Kwa siku za karibuni nimekutana na marafiki kadhaa wakimiliki magari mbalimbali. Kuna mmoja anamiliki Toyota Crown Athlete, mwingine Crown Royal, na mmoja wa Subaru Impreza. Katika magari yote hayo nimetokea kuvutiwa sana na...
  2. JamiiForums Tanzania nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  3. JamiiForums Tanzania Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

    Anyways nawatakieni Kila Ia Kheri wote.
  4. JamiiForums Tanzania Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  5. JamiiForums Tanzania Vunja bei yangu

    Nina vifaa vimebaki hapa wadau 1. Fiber Moja Kwa shs 3500 TU za Andika. Zimebaki nne. 2. Msasa Mita 1500 TU. 3. Brush mbili Kwa 3000 TU. 4. Gypsum powder BBG mfuko mmoja Kwa 13000 TU. 5. nipples 5 Kwa 3000 TU. Karibu tuongee,,,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

    Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: "Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  8. JamiiForums Tanzania Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

    Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint. Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama? Je, siku ikipotea naweza kuipata?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  11. JamiiForums Tanzania Ubalozi Wetu DC...Pasipoti Yangu...

    Kwa kweli nimetiwa moyo na weledi, haraka, na utendaji ulioweza kufuatiĺia Hati ya kusafiria ya mdogo wangu Mange aka Damdogo. Licha ya kuchelewa kurenew lakini mambo ya ndani wameweza kushughulikia Hati yake kwa haraka. Na mimi nilishakamilisha kila kitu ili kupatiwa Hati yangu ya kusafiria...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  13. JamiiForums Tanzania Simu yangu moja tu ikasababisha nyumba nzima tuwekwe kizuizini

    Mnamo tarehe Machi,15, msafiri mmoja aliiingia Tanzania majira ya saa kumi jioni. Msafiri huyo ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, ambaye aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda. Baadaye ikathibitishwa kuwa msafiri huyo alikuwa ni mgonjwa wa kwanza wa corona Covid-19...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

    Ilikuwa ni jumamosi moja tulivu, nikiwa na watu wangu kadhaa tuliosoma wote shule ya msingi tuliamua twende kwenye pori moja lililo kilometa kadhaa kutoka kwenye kijiji ambacho kwa umoja wetu (tuliomaliza pamoja shule ya msingi) tuna shamba ambalo tulinunua kwa pamoja. Basi tukanunua vinywaji...
  15. JamiiForums Tanzania Nyota ya uzazi inavyotesa mahusiano yangu

    Wasalaam, Wanajamvi jana kuamkia leo usingizi umekua mgumu kwangu kutokana na changamoto ninayopitia katika swala la mahusiano ya mapenzi. Ikiwa ni muda mfupi toka nitengane na mke wangu tuliozaa watoto wawili kwa mapenzi yetu (japo yeye ndio aliyewahitaji mwanzoni mwa mahusiano yetu). Hali...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuhusu mawasiliano yangu ya simu

    Habari za mda huu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikisumbuka sana juu ya laini yangu ya tigo kutopatikana na iko hewani. Watu tofauti walipokuwa wakinipigia walikuwa wakipewa ujumbe huu.''Namba unayopiga haipatikani kwa sasa" Cha kushangaza Mnara unasoma...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie niwe Mzanzibari. Nina Degree, maisha yamekuwa magumu kwangu

    Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh. Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya degree katika fani ya uhasibu. kiukweli nimejiajiri lakini hali si mchezo huku mtaani, ofisini nashinda masaa 14, kila siku lazima niende ofisini yani hata nlikopanga geto kuna wengine hawanijui vizuri...
  18. JamiiForums Tanzania Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini

    Ndugu zangu Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini. Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya...
  19. JamiiForums Tanzania Simu yangu inadownload vitu automatically

    Wanajukwaa, simu yangu inatabia ya ku-download vitu kama vile apps, na hii inatokea automatically. Naisaidieje hili tatizo? Msaada wenu tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…