yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
  2. D

    Car4Sale Nauza gari yangu ruksa kuvunja pia

    TOYOTA KLUGER Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote CC 2360 Millage 92,000km - Original Safari Leather Seat New tyres Sports reams 18.5m-inapungua call/Watsapp 0715140001
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni. Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
  4. ANT DRUGS

    Kama upo Chuo Dodoma jua mkeo huku anagegedwa vibaya mno

    Habari zenu wakuu! Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo...
  5. Superbug

    Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  6. SOUND SYSTEM

    Ndoa yangu changa inataka kuniua

    Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana. Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo. Matatizo sasa yanaanzia hapa: 1. Baada ya kumuoa...
  7. Mag3

    Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

    Post yenyewe inapatikana hapa; Kilango sasa awageukia akina Slaa Jun 25, 2008 Add bookmark #48 For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did...
  8. Chizi Maarifa

    Serikali Yangu ijitathmini, tunapopoteza Marafiki Kama Denmark tukijidanganya ma Wachina tunashida

    Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa. Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana. Nasikitika sana...
  9. D

    Maoni yangu; Ni afadhali utoe namba yako ya siri ya benki au simu kwa ndugu kuliko kuificha kama tunavyoambiwa na benki, faida hupata wao zaidi ukifa

    Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana! Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui! Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale, kwanza usumbufu...
  10. kyagata

    Biashara yangu imedoda, nimekosea wapi na nini kifanyike kuiimarisha?

    Habari wakuu! Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii. Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari. Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Mama yangu alinikataza kusomea Udaktari

    Katika mambo ambayo huwa siyasahau ni hili. Mama yangu ndugu zake kadhaa wamesomea udaktari. Na hata jina alilonipatia mimi nila baba yake ambaye mpaka sasa ni daktari. Lakini pia mara mimi baada ya kuzaliwa na kupatiwa jina hilo la huyo baba yake, nilianza kuitwa jina la utani Dokta, Dokta...
  12. D

    Car4Sale Nauza IST yangu

    Iko Dar full doc. cc 1290 full ac haina changamoto yoyote 0715140001 Bei 9m negotiable
  13. katoto kazuri

    Mada za mwaka huu na experience yangu humu wakati nipo single

    Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi . Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe sio kitu. Mwanamke anayekupenda niyule ambaye ukiishiwa anakujali hata kimawazo hakukimbii. Wakati...
  14. KENZY

    Njia zipi naweza kutumia ili simu yangu isiweze kudukuliwa?

    Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na ni niia zipi naweza gundua kuwa nadukuliwa..? Ni hivyo tu..
  15. mama D

    Umri unavyozidi kwenda mapenzi yangu yanazidi kuwa makubwa kwao👨‍👩‍👧💑

    Ni wazazi💞💓 Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka supablaki anikimbie😃😃😃 Nimtegee bimkubwa asinzie nimpake wanja na lipstik nyekunduuuu, nimvishe wigi la...
  16. Hismastersvoice

    Kwanini TIGOPESA wananilazimisha nitoe pesa kwenye akaunti yangu?

    Tangu tozo mpya zilipoanza nimesusa kutoa pesa kwenye akaunti yangu, chakushangaza Tigo wamekuwa wakinitumia ujumbe nitoe pesa vinginevyo wataifunga! Wakiifunga inamaana wao watakomba pesa yote ndani ya akaunti yangu? Na kwanini wakombe wakati mimi niko hai kwani namba yangu ya Tigo ninaitumia...
  17. mapipando

    SoC01 Safari ya Maisha yangu

    Nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya themanini katika hospitali ya Mwananyala iliyopo wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salam.Mimi ni mtoto wa kwanza na pekee wa kiume kwa mama mwenye watoto 3. Baada ya wazazi wangu kutofautiana waliachana na mama akaanzisha maisha yake Kurasini na baba akabaki...
  18. mjusilizard

    Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  19. GRAMAA

    Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!

    Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana. Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani...
  20. T

    Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
Back
Top Bottom