Natafuta kazi nijikimu kimaisha

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
2,971
2,000
Wadau kwema.

Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..

Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo ambazo ukinielekeza naweza kuzifanya kwa weledi mkubwa kwasasa niko Dodoma ila naweza kufanya kazi popote nchini hata nje ya nchi pia.

Kwa aliye na kazi naomba msaada wake niweze kuishi ndugu wanaJf

Naomba usinikebehi..

Mawasiliano 0716863406
 

Insigne

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
1,276
2,000
Ngoja wakuu wajee watoe msaada hapa kwasababu wengine humu tumeanzisha nyuzi za kutosha kule Jukwaa la kazi na ajira, ila hatujapata Msaada mpaka leo ila tunaendelea kuvumilia taratibu
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
4,795
2,000
Ngoja wakuu wajee watoe msaada hapa kwasababu wengine humu tumeanzisha nyuzi za kutosha kule Jukwaa la kazi na ajira, ila hatujapata Msaada mpaka leo ila tunaendelea kuvumilia taratibu

Mkuu kwahiyo bado hujapata ajira?
 

Man Thom

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
732
1,000
Sijawahi kuona hapa mtu awaye yote akiomba msaada wa mawazo kuhusu kujiajiri, ajira zenyewe zipo wapi Bongo hii? Palipo na watu wengi mf dsm hiyo ni biashara na mtaji tosha..hebu fikiri nje ya box ndugu tafadhali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom