yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

    Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ? Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone. Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwako rafiki Ndugu Robert Heriel

    Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo. Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida...
  3. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanizawadia nusu lita ya asali na elfu 50 siku ya birthday yangu. Nimempiga chini kwa kasi ya 5G

    Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza? Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G). Mm sipendi ubabaifu. Watu wanazawadiwa magari yeye ananizawadia nusu lita ya asali na sh elfu 50...
  5. De Opera

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga maombi, rafiki yangu akapatwa na janga

    Habari wana JF? Natumaini mnaendelea vizuri! NB: Nimeandika hii kwa niaba! Nimesimuliwa hadi chozi likatoka. Wapwa, kuna suala linaniumiza sana kichwa nalo ni kuhusiana na kinachompata rafiki yangu kwa sasa. Stori iko hivi: Mimi na rafiki yangu tulikutana katika harakati za maisha, tukaamua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
  7. Mjamaa1

    JamiiForums Tanzania Nasikitika hadumu, rafiki yangu Ujana ☹️

    Na: SHAABAN ROBERT (1909-1962) 1.Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana, Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana, Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina, Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana 2. Kichwa kimejaa mvi,kinywani meno hamna, Nikenda kama mlevi, miguu nguvu haina, Kumbe ujana ni...
  8. Winga dalali

    JamiiForums Tanzania Tuinuane wakuu

    Habari,I hope mu wazima wa afya Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei zake 🙏
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepeleka barua ya posa juzi juzi halafu danga la mtaa linajitokeza na kudai kuwa lina mimba yangu

    Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material). Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa. Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga...
  10. Kakati

    JamiiForums Tanzania Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  11. The Transporter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu changamoto

    Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri sana ila ndio mshikaji, maana hiyo mwanae ni mtu wa mambo ya mipira na mie napenda mpira na huwa...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  13. DR SANTOS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkuta mke wa jirani yangu guest house akienda kunyanduliwa

    Huyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja cool sana. Jana nimekutana na jamaa tumeongea mengi sana na alinambia anataka kujenga shopping mall...
  14. ThisisDenis

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya katiba mpya na changamoto zake

    Hivi ndugu mtanzania mwenzangu, umeona wapi baba kuruhusu taratibu ambazo zinamyima amani kwenye nyumba yake? Mimi kama mtanzania mtazamo wa katiba mpya n8 mzuri sanaa, lakini bado hauna nguvu. Kipindi tulichonacho sio cha kuleta mchakato huo ni mwakani hapo tunaingia uchanguzo mdogo ninani...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu...
  16. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ndoa yangu imepata miba

    Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi akawa akija anaacha chakula anaga siku inayofata. Akashangaa sana hio hali mfululizoo, baddae...
  17. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

    Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu. Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu. Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
  18. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Mkasa: Jinsi nilivyofunzwa uchawi na mama yangu

    SEHEMU YA KWANZA. Nikiwa nimerudi kutoka shuleni nilikutana na mama nje ambaye alinambia tumepata mgeni ambaye atakua akitusaidia kazi za ndani yaani dada wa kazi, kutokana na uchovu na fimbo za siku hio hata sikua na hamu ya kutaka kujua zaidi kuhusu jambo hilo nilimjibu mama kwa kifupi...
  19. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

    Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana. Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na...
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
Back
Top Bottom