yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Mabula Msirikale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

    Habari ya weekend JF. Mpenzi wangu nimempa ujauzito. Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu. Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo. Sasa leo asubuhi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  3. maroon7

    JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya kufungia mwaka 2022

    Nawewe tupia yako
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine. Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike. Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

    Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana. Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na...
  6. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  7. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

    Wanajukwaaa wazima nyie? Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro. Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa...
  8. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Msaada accout yangu ya facebook imefungiwa

    Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
  9. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu ya kwanza nimenunua, Nissan Dualis

    Habari wana JF, Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana. Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

    Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania. Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  12. makaveli10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu. Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Mfano leo Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'. Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa Tanganyika na Zanzibar, hii itaonesha uhalisia na chimbuko la kila mmoja chini ya kivuli cha Muungano...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

    Siyo kwa ubaya ndugu zangu, misumari ni mingi sana, ukiweka japo kabiashara kako sehemu ili kakusaidie wewe na familia yako ikianza tu kuchanua kuna viherere wanajifanya kuizima. Sasa nikasema dawa na mimi ni kutembea, simlogi mtu ila naweka mambo sawa, nailinda biashara yangu. Kwani kuna ubaya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu yaliharibika kwasababu ya yule

    Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu. Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Kufuatia kuongezeka kwa maji Mto Ruvu, Dar hakuna tena mgao wa maji

    RC MAKALA: HAKUNA TENA MGAO WA MAJI DAR Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amosi Makala amesema kuwa mgao wa maji uliokuwa unaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani hautakwepo tena kufuatia kuongezeka kwa maji kwenye chanzo cha Mto Ruvu ikiwa ni matokeo ya mvua zinazoendelea kunyesha kwenye...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi...
  18. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kumtumbua Tito Mwinuka

    Kwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako. Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa zaidi ya 20% utaambiwa na wawekezaji kuwa gharama za uzalishaji kwa mwezi huu zilikuwa juu kutokana na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
Back
Top Bottom