yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

    Habari zenu ndugu zangu, naandika nikiwa na hasira kali sana juu ya baba yangu mzazi, mimi ni kijana wa umri wa miaka 48, sijaoa bado ila nina mtoto mmoja, ambaye yupo kwa bibi yake upande wa mama yake. Mwaka huu mwezi wa tano niliondoka nyumba rasmi baada ya kuona baba yangu ameanza manyanyaso...
  2. JamiiForums Tanzania Simba yangu kinachoniuma tunautaka utamu halafu tunautafuta kulee?

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimeipigania sana Simba huku mitandaoni ila ikafika wakati nikaamua kupumzika maana kuna mambo yanakatisha tamaa sana ndani ya Simba yangu. Simba ina wachezaji bora sana shida ni jinsi wanavyotumika. Kuna mentality inabidi ibadilishwe pale kuanzia kwa viongozi...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kachana na kiwembe cover la pikipiki yangu nimetafakari bila majibu

    Sijajua ni nani lakini hili jambo limeniumiza sana yaani mtu kaja na kiwembe sehemu niliyokuwa nimepaki pikipiki yangu kachana cover la pikipiki yangu. Sijui nimwachie mungu au nifanye ubayaubaya yaani hapa sielewi kinachoniuma sio kuharibu cover langu ila nachowaza huyu mtu ana lengo gani?
  5. JamiiForums Tanzania Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

    Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze. Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi na Ndugu yangu Gentamycine tunawatakia Simba Ushindi wa Kishindo

    Ukihitaji salamu subiri kwanza mechi ya kesho iishe! Mimi TUKANA UONE a.k.a Mpiga lamination mbele na nyuma! Pamoja na ndugu yangu na mtani wangu GENTAMYCINE a.k.a Mkunyubenga Kwa Pamoja tunawatakia Timu ya Simba ushindi mnono hiyo kesho pale kwa Mkapa.Mimi kama shabiki wa mabingwa wa nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Nina miaka 33 lakini naonekana nina miaka 25. Huu ndio mtindo wa maisha yangu pengine unaweza kukusaidia usizeeke haraka

    Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34. Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia...
  9. JamiiForums Tanzania Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurudisha email

    Nahitaji kurudisha email yangu ya kwanza lakini password nimesahau. Lakini hatua ya mwisho inanishinda wananiambia wametuma Tena verification code kwenye email ninayotaka kuirudisha, hapo nashindwa kabisa.
  11. JamiiForums Tanzania Dini zote naomba mnijibu maswali yangu

    Naomba nieleweke mimi ni muislamu sijaleta swali kwa lengo la kukejeli ila nataka ufahamu zaidi sitaki kubakia kweny kuta moja kweny hoja hzi. 1, Kwanini mungu hakuleta dini tunazotetea toka kuumbwa kwa huyu adamu? 2, Inakuwaje amewaacha binadamu katika sitonfamu ya imani? 3, Kwanini mitume...
  12. JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  13. JamiiForums Tanzania Safari bado ndugu yangu, hujamaliza!

    1. Dada umejifungua salama usianze kudelete namba za wakunga au kuondoka kwa kibri Hospital. 2. Umemaliza masomo usianze kudelete namba za wenzio mliosoma nao. Safari bado inaendelea. 3. Umeacha kazi au umefukuzwa usianze kutukana watu safari bado ndugu. 4. Umefanikiwa kiuchumi usipandishe...
  14. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu yuko njia panda

    Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi; Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote. Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Safari yangu kutembelea Mwanza jiji la miamba

    Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa watu wachache wanaofikiwa na ujumbe huu. Habari!! Mwishoni mwa mwezi wa nane tarehe 28 nilianza...
  16. JamiiForums Tanzania Robertinho: Bocco ndiyo anayefuata Maelekezo yangu Vizuri Kuliko Phiri na Baleke, Aachane na Kelele za Mashabiki wa Simba

    Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni mshambuliaji bora anayeweza kucheza kwa maelekezo na kuisaidia timu, hivyo hawezi kumuacha nje kizembe. Mbrazili huyo alisema Bocco pekeea mekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu. Hapakuwa na makorombwezo Wala...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…