Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
 
Sidhani kama kuna shida yoyote yeye kutaka kujua shughuli zako zinaendaje na ukizingatia umekulia kwake yani anakuchukulia kama mtoto wake...na kama mzazi lazima ajue mwanae anaendeleaje na anafanya shughuli gani, yuko wapi na vitu kama hivyo..ni upendo tu unamsukuma kufanya hivyo na kwa tafsiri nyingine maanake anakujali..
 
Mbona mambo ya kawaida sana!
Ingekuwa busara kama uzi wako ungepeleka kwenye jukwaa la Habari na hoja mchangsnyiko.
 
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
Badirisha njia mchawi nduguyo,
 
Mimi mama yangu ananiuliza hayo karibia kila siku na naona ni upendo tu wa mzazi chukulia hivyo pia na ukizingatia umekulia kwake
There's no caring when there's too much asking without any kind of effort to show you care by giving support/connection you're asking so what if you don't give me nothing?, soma tena uzi 5 years mtu anauliza same shit does it make sense to you? Km sio mchawi ni nini wizard
 
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe

We unapata mtu anajali unadhani kipapai
 
There's no caring when there's too much asking without any kind of effort to show you care by giving support/connection you're asking so what if you don't give me nothing?, soma tena uzi 5 years mtu anauliza same shit does it make sense to you? Km sio mchawi ni nini wizard
Kama angekuwa mchawi usingekulia kwake tatizo hupigi hatua yoyote kwenye maisha au unazidi kupoteza hata kile kidogo ulichonacho ndo maana unaona waleze wako kukuuliza unaendeleaje unawaona wachawi
 
Mchawi = mtu anaekufuatilia Ila hakupi support anakuuliza kuhusu progress zako ilihali aonyeshe kuchangia chochote kwenye progress zako na ukianguka haonyeshi nia ya kukunyanyua uinuke tena na kusonga mbele

Mfano Shangazi angemwambia mwanangu km Mambo hayaendi kuna Ardhi hapa heka 20 njoo tujaribu kulima mazao ya biashara, hio ni moja ya support sio kuuliza uliza tu tunawangiana

Siku hizi wachawi sio Wazee
 
Je ana hicho kipato Cha kulima hizo ekari 20 na wewe kwa nini uhitaji support badala ya kujipambambanua wewe ni mtu wa aina gani ili wao waje kuomba ushirikiano pengine anakuuliza ili ajue ukiwa kiasi gani ili ajue mtashirikiana vipi
 
Una uhuru wa kumuambia kuwa maswali hayo asikuulize. Iyo itasaidia wewe kuwa comfortable ukikutana nae na mbadala uwo wa maswali utafungua majadiliano mengine yanayoweza kuwa na tija kwenu nyote.
 
Back
Top Bottom