yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

    Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za watoto wao. Kwanini wale mliowaajiri waishi kama wafalme wakati hawana shengeli kama sisi? Tuamke sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

    Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ndugu yangu!

    Jamaa yangu kaomba ushauri
  5. R

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Salaam, Shalom! Siku moja nilitoka nyumbani kwangu nilipanga kwenda mjini kununua baadhi ya mahitaji muhimu ya vifaa vya umeme, Niliondoka nyumbani majira ya saa tisa hivi, baada ya nusu saa, nilifika mjini, Sasa Pana duka la vifaa vya umeme kubwa nililokuwa nikitumia kununua mahitaji yangu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

    Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
  7. JamiiForums Tanzania Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

    Habari IPO namna hii, Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba.. Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu katika miezi iliyopita siwezi kusahau

    Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita. Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini mwezi wa 10/2023 niliona humu JamiiForums watu wanahimizwa sana kupimwa kujua afya zao na mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu huu ni ubinafsi

    Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki. Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo. Ahsanteni.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
  12. JamiiForums Tanzania Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

    Habari viongozi? Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda. Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti. Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Hello wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo kijijin na huku kijijin wazazi Wangu wamenipa duka nirithi la nguo. Hili duka cha kwanz siipendi hii...
  14. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kutafuta maisha mjini

    Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life) Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu hapa wakuu. Kuna mdada nmemtongoza kanambia anamchumba leo mwaka umepita, bado anaendelea kusogea karibu yangu

    Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae". Nifanyeje ili nmpate wakuu?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  17. JamiiForums Tanzania Kumkopesha ndugu ni kuua undugu wenu

    Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha. Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu upande wa baba wanainua vita kali juu yangu

    Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia. Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nilivunjiwa Ofisi yangu

    Nakumbuka siku nilifungua ofisi moja ya kurusha miziki ,nilienda kwa mama mmoja anitayalishie dawa ya kuleta wateja wengi waje niwachomee miziki na movie. Alinipa dawa nne mfano wa irizi ya kwanza akanambie niichimbie mbele ya flame yangu ya ofisi yangu Ya pili niiweke kwenye sehemu ninapoweka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke

    Wanaume na mtihani mgumu wa kuchagua kati ya mama au mke. Hii na makala katika gazeti la mwananchi. Uislam unasemaje? Kaa tayari upate kutoka kwa Anas bin Nadhwiri Al-Ashijainiy amesema: Siku moja mama yake Ibn Mas'uud (Radhwiya Allaahu 'anha) alitaka maji ya kunywa na ilikuwa usiku – kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…