yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Walivyoniita mbinafsi, niliwakaribisha kwenye maisha yangu na kuwashirikisha matatizo yangu... ajabu ni kwamba wote walikimbia

    Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
  2. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  3. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni dua yangu siku zote za Maisha yangu

    Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. Yoshua 24:15 Kwa hiyo, Mimi...
  5. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

    ...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    . Naomba niwasimulie tuu, Leo nimepatwa na jaribu gumu sana kwa mara yangu ya kwanza katika maisha yangu. Nimekuwa nikisoma thread nyingi tu humu JF kuhusu vijana kuacha masuala mazima ya tamaa, pamoja na mikasa ya watu iliyowapata kama story ya yule jamaa aliyekuwa wakimwita Apostle...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Gari yangu haijawahi kutoka Dodoma, ila ina deni linaloonesha ilikamatwa Dar

    Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma. Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
  9. NESARA1952

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Kampuni yangu

    Habari wadau wa JF, Mimi ni mdau mwenzenu ambaye nimekuwa sehemu ya jukwaa hili kwa muda mrefu. Kupitia JF nimejifunza mambo mengi, nimeongeza maarifa na ujuzi muhimu, na pia nimepata fursa zilizonisaidia kujikwamua kiuchumi. Vilevile, mijadala na simulizi mbalimbali zinazoshirikishwa hapa...
  10. kassim035

    JamiiForums Tanzania Unadhani nini kifanyike ili utandawazi wa sayansi na teknolojia usieendelee kuharibu vijana waliokua kwenye foolish age?

    Unadhani nini kifanyike ili utandawazi wa sayansi na teknolojia usieendelee kuharibu vijana waliokua kwenye foolish age
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Masada: Taa ya chaji ya pc kuwaka na kuzima

    Pc yangu ni hp ryzen taa ya pc nikiweka chaji inawaka na kuzima rangi nyekundu, nikajaribu kutoa betri inaendelea vile vile ila safari hii ni taa nyeupe,,nimejaribu kuwasha lakini haiwaki,,nimebadilisha chaji lakini ni vilevile shida ni nini na inawaeza kutengenezeka?
  13. Pierina Vicka

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Baba yangu anaitwa Gervas Kalilo. Alikuwa anaishi Kahama Mtaa wa Uhindini miaka ya 1990

    Wana-JamiiForums, habari za majukumu Naja mbele yenu nikiomba msaada wa hali na mali wa kupata dondoo yoyote itakayoniwezesha kumpata baba yangu mzazi ambaye sijawahi kumwona tangu nizaliwe. Naitwa Pendo Gervas Kalilo, na kwa sasa sipo nchini Tanzania lakini kiu yangu kubwa ni kumfahamu baba...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

    Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli. Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gari yangu inadaiwa faini ya Polisi, inaonesha ilitozwa Mlandizi wakati sijawahi kufika huko

    Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki. Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa ujumbe huu kwenye mtandao nikiingia kwa kompyuta yangu

    Jamani Nikiingia aidha kwenye mtandao hasa email, app, system yoyote inahitaji password yangu napata ujumbe huu Your token has expired Awali nilifanya yafuatayo kuondoa 1. Nikiingia kwenye dot tatu kulia mwa address ya web nikaenda setting ku delete catches, cookies nk 2. Nili reflesh site...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ananieleza kuhusu china athari za mabwawa,kingo za mito mifumo ya kulazimisha kubadili mvua ndio wanapata tabu

    Wachina ni watu wenye kujua vitu vingi ila wanapitiliza mpaka waliowafundisha wanaona kama wao ni wajinga. Dunia inatabia moja kama masikio.Binadamu walikuta dunia inaweza kukabiri mfumo ila tatizo la wanadamu wanataka kuitengeneza kama kichwa cha mlevi mwisho wa siku dunia itashindwa kuelewa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kero yangu kubwa ya dawa za mitishamba kuna baadhi ni dawa chungu au zenye kinyaa hazinyweki kirahisi, waweza kutapika

    Nakumbuka hapo zamani nikiwa na 15 niliwahi kuumwa, basi katika kuzunguka kupata suluhisho nililetewa dawa ya asili Ni majani unayachemsha yanakuwa kama chai ya rangi Niliponyanyua kikombe na kukiweka kinywani, ilipogusa ulimu nilishusha kikombe Kwa kujua dawa hio hainyweki kirahisi wengi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Akili yangu inaniambia kuna watu wapo serious mno na mustakabali wa hili Taifa

    Kuna matukio nikiyaunganisha kuna picha naipata kwamba kuna watu 'underground' wapo serious mno na mustakabali mwema wa nchi yetu. Tazama kwa mfano, 1.Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa Taifa-CHADEMA. 2.Kukomaa na NO REFORMS NO ELECTION mwanzo mwisho!. 3. Kugoma maridhishano n.k I...
Back
Top Bottom