yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kukimbizana na wanawake, ni process inayokula nishati na mentallity yangu, nifanyeje kuikamilisha hatua hii ?

    LUST ni zimwi hatari sanaa aiseee Kosa nione mdada mwenye makebo makubwa, lazima nihakikishe natafuna jagina yake. nimekula malaya na wadada wa kutosha, Nimepoteza pesa, Love triangles za kutosha, Imeathiri mahusiano yaliyo serious, Pesa zimetililka for stupid reasons aisee, Wanawake...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mama yangu yupo jela hong kong_Queen Darleen

    Dada yake Diamond, Queen Darleen amesema mama yake mzazi yupo jela Hong Kong, na mara ya mwisho wameonana miaka 10 dah
  3. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata API ya DSE kwa ajili ya App yangu ya data analysis

    Natengeneza App ya AI ya kuchambua taarifa, kutoa ripoti na kutoa ushauri katika maswala ya fedha na uwekezaji., moja ya ya features zitakuwepo nahitaji App iwe inachambua maswala ya hisa za mtumiaji ambae amewekeza kwenye dse Shida nimetafuta namna ya kupata API ya dse sioni . Naomba mwenye...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ni kama movie na wanawake kwangu ni kama ruby

    Sijui ni zimwi. Sijui ni uraibu. Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao. Nimeshafanya style zote, wanawakae wa aina zote, lakini bado sitosheki, Imekuwa kama adventure...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jioni yako ikoje? Yangu imejaa tabasamu

    Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!! Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hali hii sijui kama ninayo mimi peke yangu au wengine wanayo ?

    Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gesi yangu inawahi kuisha sana, tuchunguze mitungi yetu

    Ninapenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu ujazo wa gesi ya kupikia. Tarehe 24 March 2026 nilijaza gesi kama kawaida lakini cha kushangaza ni kwamba tarehe 10 tu ya mwezi Aprili gesi imeisha, matumizi yangu ni yaleyale ya kawaida ya kila siku, hapo nyuma gesi hiyohiyo ilikuwa inanichukua...
  8. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Onyo: Napiga marufuku kwa member yeyote yule kutoa like kwenye post au comment yangu yoyote

    Katika hili naomba niwataje kabisa Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS..
  9. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, usimuamshe aliyelala, utalala wewe

    Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha vijana wajinga wa kitanzania... na hilo ni jambo jema kabisa na la kuuungwa mkono Lakini, je hao vijana...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya OSHA rudisheni hela yangu, nililipia training, mkanipotezea hadi nimefukuzwa kazi

    Kero yangu naipeleka kwenye Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training tangu mwezi wa 10 Mwaka 2025 na nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training. Sasa imepita miezi 5 tangu niombe kusoma, wamekuwa na majibu mepesi kiasi kwamba hawaoni umuhimu wa...
  11. Fene

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Tokea Jf niache kumwaga madini yangu kumepoa sana, subirini niendelee kuzoa madini huku nilipo nitarudi

    Vp wazee Aisee huku nilipo nikirud tena Jf itabidi nilipwe sasa, maana siku hizi huku kitaa hata maongezi yangu tu watu wananirekodi wengine wanaandika wanadai ni madini matupu Nikirud mutafurahi, ila itabidi munipambanie nilipwe
  12. Street brain

    JamiiForums Tanzania “Trauma ya Maisha: Nilimkuta Dada Yangu Akiinamishwa na Msela, Mpaka leo sitaki kwenda kwake

    “Kuna siku nishamkuta dada angu kainamishwa na msela akiwekewa mpini ile kitu sijawahi kuheal mpaka leo bahati nzuri ndo kamuoa kubabeki siendagi kwao kabisa 😂👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦” Oyaaah acha kabisa, wenye dada....
  13. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

    Habari zenu wakuu! Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani. Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea...
  14. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu simu yangu haisomi line ,na wi-fe,hotspot, Bluetooth haziwaki

    Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash Note Simu haisomi kabisa ina...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani dada yangu Bi. Sauda bint Juma Mwinyi

    https://youtu.be/xeP3D7nzHzc?si=l573EPhbJle5grrv
  16. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Lifestyle yangu naipenda sana

    Natafuta pesa kwa bidii ila nachokipenda kwenye maisha yangu hata nikipata pesa sitotumia na wengi sababu kwa week pekee napokea simu ya baba yangu tu hakuna usumbufu
  17. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Leo amenipa shilingi elf 20k

    Imepita muda huyu bwan mdogo hajinipea chchote wala kuchanagia chochot yey Yuko busy na kaz na maujenzi yake ila Leo bin fuu tumejikuta tuko mkoa mmoja na yye Yuko likizo hapn mkoni .... Kwamba ameamua kuwepo hap mkoani nilipo ili akamiloshe miradi yake Bas nikiwa kanisani nikipata mahubiri...
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

    Kuna binti jana kaniambia ana mimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu Anataka kuniletea matatizo, halafu kibaya nimemuambia atoe anasema nisubiri ajifungue aniletee mtoto nimuue hivi...
  19. Mributz

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k

    Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k 0718909429 Inch 32
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpaka leo TANAPA imeshindwa kulipa Madai ya Watumishi, tunaishi maisha magumu

    Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana. Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa. Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
Back
Top Bottom