yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. adriz

    JamiiForums Tanzania 'Adriz the Goat ' nimerejea rasmi JF baada ya safari yangu meditation

    Moja kwa moja .. Mwezi wa saba mwaka huu nilichukua umamuzi wa kuondoka Jf kwa muda , malengo ya kuondoka ni mwendelezo wa utamaduni wangu wa mara kwa mara ikifika kipindi fulani nakuwa nje kabisa na mitandao ya kijamii kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kurudi tena . Vitu ambavyo nakuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  3. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Mimi kama Gengis hii ndio misimamo yangu hapa Jf

    Mzuka wana jamvi ? Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ; 1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO MALALAMIKO YANGU DHIDI YA TALENTS SOLUTION COMPANY LIMITED

    Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited. Nilikuwa nimeajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja, ambao kwa mujibu wa mkataba wangu ulipaswa kuendelea hadi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aliuza taarifa za ndugu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha

    Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha. Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio. Mara baada ya kutoka huku...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyimbo yangu, tayoitambulisha karibuni nme muimba chivayo , je hicho kipande nikifute

    Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao. Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo" Nilimuimba kidogo sana, asee...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natumia laini ya Airtel na nimeihakiki mara mbili ila bado napata ujumbe “namba yako imesajili namba za uhalifu”

    Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa “namba yako imesajili namba za uhalifu.” Hata hivyo, hili si jambo jipya. Awali nilishawahi kwenda...
  8. min -me

    JamiiForums Tanzania Binti yangu hakutaka kuwa atheist kama mimi

    Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
  9. amu

    JamiiForums Tanzania Jamani namtafuta rafiki yangu

    Habari zenu jamani za miaka mingi? Namtafuta rafiki yangu The Monk atakayemuona amuambie namtafuta jamani. Mzigua90 ukimuona jirani yako muambie anitafute
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu ya kuishi maisha bila stress niliamini pesa itazipunguza lakini sioni dalili, Je ni hadi uwe bilionea kuishi maisha bila stress ?

    Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini angalau kiuchumi kwa kijana ambae bado sijafika 40 Nimeshajenga kwangu, gari zipo, watoto wanasoma private...
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Huu ndio Muarobaini wa Ajali za Barabarani - Kila Dereva Awe na Leseni, na Mfumo wa Pointi Uboreshwe, Uwe na Ufanisi.

    Ndugu zangu wa JamiiForums, Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
  13. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni visasi

    Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani? Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za hati upande wa Premium, ni asilimia ngapi?

    Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
  15. KimChi

    JamiiForums Tanzania Nishati NAFUU ni ipi katika Biashara yangu

    Wana JF habari, Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenu nyie moderator nisaidieni kuifuta acount yangu ya hii ya jf.

    Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute. Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission , tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia...
  18. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Eti akitangulia kufa kabla yangu, nitaoa tena?

    Mie nimemjibu kwamba..... Siwezi kurudia kosa tena....😒 Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
  19. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

    (Temporary post) Kwa wakazi wa Dar. Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe. Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati...
  20. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai...
Back
Top Bottom