Tuseme ukweli, Gamondi anafeli pakubwa sana Yanga

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,414
3,463
Salaam wana JF,

Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana wanapata bahati kama hizo, na kwa miaka ya hivi karibuni labda Thomas Tuchel tu ndo kaondoka kwa style hio.

Well, then after his depart, akaja kocha Gamondi, akaleta soka safi na la kutumia viungo wengi sana kama amerika ya kusini wanavyofanya, na huku akipata matokeo uwanjani, basi wananchi wakamuweka sana Moyoni.

Ila sasa kwa namna hali inavyoenda, huyu kocha inaonekana mbinu zimeisha. Kila mechi anacheza na same game plan hata kama haimpi matokeo anayoyataka. Yes, tunajua anajiamini ila kwanini unaendelea kutumia back 3 na bado ukuta wako unakuwa hoi na dhaifu kiasi kile..? Nabi pia aliwahi kutumia Back 3 na wing back ila ni kwenye mechi ambazo wala hazikuwa na umuhimu, ni kama alikuwa anapima mapokeo ya hio mbinu na akaona CB's wa Yanga hawana uelewa na uzoefu na mapokeo sahihi ya tactic hio, akaona bora atemane nayo tu.

Pili, kocha huyu katengeneza classes pale Yanga baina ya wachezaji, sahivi kuna wachezaji wanaozea tu benchi bila sababu ya msingi. Out of 5 substitution, anafanya 2 na zote hazimlipi. That shows clearly how poor he is kwenye game analysis. Anashindwa kujua game inataka nini.

Tatu, Kocha huyu hana discipline, yeye pamoja na tactical bench lake. Hana nidhamu kuanzia kumuheshimu mpinzani uwanjani hadi kuheshimu maamuzi ya waamuzi. Nadhani wote tume witness hilo.

Angalizo kubwa sana, kocha asikaze kichwa. Akubali kupokea ushauri. YANGA hawajamleta pale aje kucheza na coastal union, kina Mkwasa wapo na hawana team kama lengo lilikuwa hilo. Kocha asijidanganye na zile goal 5 za Mtani, mechi za derby zinachezwa na waganga kuliko wanavyocheza wachezaji na mbinu za bench la ufundi. Sisi wenye team tunalijua hilo. Mafanikio ya Nabi yatamtesa sana asipokuwa makini na kuiga vitu vizuri sio dhambi.
 
Mbona makocha mnakuwa wengi? Kwani medeama walikuja uwanjani kucheza mdundiko? Vipi goli walilonyimwa yanga na red card ya wazi ukuona au ulivaa miwani ya mbao? Nakushangaa unavyosema kocha abadiliki ulitaka apangeje kikosi wewe? Kaenda kwa kumheshimu mwenyeji ndiyo maana kaingia na mabeki 5, uwezi kwenda kichwa kichwa ugenini ata Kama timu husika unaizidi uwezo lazima uwe na heshima!
 
Huyo ni kolo ana maumivu ya 5G kichwani.
 
Robertinho aliya fanya yote pale msimbazi na kikosi chake ambacho hakibadiliki na mlikuwa kimyaa
 
Mbona makocha mnakuwa wengi? Kwani medeama walikuja uwanjani kucheza mdundiko? Vipi goli walilonyimwa yanga na red card ya wazi ukuona au ulivaa miwani ya mbao? Nakushangaa unavyosema kocha abadiliki ulitaka apangeje kikosi wewe? Kaenda kwa kumheshimu mwenyeji ndiyo maana kaingia na mabeki 5, uwezi kwenda kichwa kichwa ugenini ata Kama timu husika unaizidi uwezo lazima uwe na heshima!
Utakuwa shabiki pekee wa Yanga saivi unayeona kocha MG ana mbinu sahihi kwenye hizi mechi za CAFCL. Pengine unaweza ukawa mjinga pia kwa kuona hivyo.
 
Gamondi yupo vizuri angekuwa na mayele kama ilivyokuwa kwa nabi sasahivi angekuwa na pointi 9 !
Nafasi nyingi zinatengenezwa lakini hakuna mmaliziaji
 
Mashabiki wana midomo sana, wakati anampiga el mereikh, azam, simba hakufanya sub zikalipa? Au alikuwa hana mbinu pia. Kocha ashasema hadharani Anataka striker na winga mwenye kasi. Unalaumu nini, pambana na timu yako kesho inacheza kolo wewe
 
Utakuwa shabiki pekee wa Yanga saivi unayeona kocha MG ana mbinu sahihi kwenye hizi mechi za CAFCL. Pengine unaweza ukawa mjinga pia kwa kuona hivyo.
Kocha yupo sahihi kwa game plan aliyo ingia nayo. Ugenini huwezi funguka hovyo hovyo.
 
Mbona makocha mnakuwa wengi? Kwani medeama walikuja uwanjani kucheza mdundiko? Vipi goli walilonyimwa yanga na red card ya wazi ukuona au ulivaa miwani ya mbao? Nakushangaa unavyosema kocha abadiliki ulitaka apangeje kikosi wewe? Kaenda kwa kumheshimu mwenyeji ndiyo maana kaingia na mabeki 5, uwezi kwenda kichwa kichwa ugenini ata Kama timu husika unaizidi uwezo lazima uwe na heshima!
Ile halikuwa goli kibabage alikuwa amezidi mkono japo ilikuwa ni kidogo sana ilihitaji umakini mkubwa kuligungua hilo.

Alafu kabla ya kulalamikia maamuzi ya refa kumbuka pia na Mediama wamenyimwa penalit 2 tena zisizo na utata wowote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom