FT | Ngao ya Jamii | Simba Queens 5-4 Yanga Princess | Azam Complex

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
128
421
IMG_9301.jpeg
Kikosi cha Simba Queens

IMG_9302.jpeg

Kikosi cha Yanga Princess​
Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess
Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Timu hizo zilifika hatua hiyo baada ya matokeo ya 0-0 katika muda wa kawaida, hivyo Simba itavaana na JKT Queens katika Fainali baada ya kuingia hatua hiyo kwa ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Fountain Gate Princess.
GA6_F6QXcAATuYq.jpeg
 
Diana Antwi full beki ya kushoto, Yanga Queen ni mtu na nusu. Dak 73 bado milango ni migumu.

Dk 78 hakuna dalili ya goli kabisa.
Dk 85 Simba Queen wanashambulia kama nyuki ila wanakosa umakini mbele ya lango.

Dak 4" za nyongeza
 
Yanga wako vizuri kwenye safu yao ya ulinzi na katikati lakini eneo la ushambuliaji ni majanga kocha anatakiwa afanye kazi ya ziada, au mfumo alioingia nao unawakaba!
 
Kikosi cha Simba Queens

View attachment 2837701
Kikosi cha Yanga Princess​
Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess
Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Timu hizo zilifika hatua hiyo baada ya matokeo ya 0-0 katika muda wa kawaida, hivyo Simba itavaana na JKT Queens katika Fainali baada ya kuingia hatua hiyo kwa ushindi wa magoli 5-0 dhidi ya Fountain Gate Princess.
View attachment 2837796
Huwa ninawashangaa sana watu wanao sherehekea ushindi kwa changamoto za mikwaju ya penati.
Na ingekuwa magoli ya mikwaju ya penati hayahesabiwi basi ingekuwa halali kwako kushangaa washerehekeaji wa hayo magoli.

Ila pole nyingi kwa queens zenu kutolewa nje kwa hiyo mikwaju, 😂
 
Nimeangalia hiyo mechi ila ukweli yanga prince's hamna team pale ile team ni mbovu sana. Haina wachezaj kabisa kuna mchezaji mmoja tu yule kiungo amesuka Alipiga faulo moja kama dume kipa wa simba atema.

Yule bint anajua mpira jins anavopokea pas na kugeuka, namna anavotoa pasi ni fundi, waliobaki wote wale wa yanga ni hovyo sana.

Simba imekamilika inacheza vzr kama wanaume kuna yule kavaa jezi na 4 wa simba ana kasi na nguvu balaa kawasumbua sana yanga.

Hii team ya yanga princess ivunjwe
 
Back
Top Bottom