SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,130
7,901
Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia.

Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake Ngoma akicheza mashindano ya CECAFA Challenge Cup mwaka 2004 tena akiwa captain wa DRC, akasema kipindi hicho kwa Tanzania captain ni Juma Kaseja na Selemani Matola.

Juzi nilivyosikia anayarudia maneno haya nikasema embu ngoja leo nipoteze muda wangu nione kama huyu mpuuzi yuko sahihi. Zama hizi ni za utandawazi, hauwezi kudanganya watu halafu wakakuangalia tu.

Nikaanza kwa kuangalia Challenge Cup ya 2004, nikakuta DRC hawakushiriki. Nikasema labda alikosea mwaka nikaangalia miaka tofauti ya kipindi hicho, nikakuta miaka yote ya 2000 DRC hawakushiriki kwenye Challenge Cup.

Nikaenda mbali zaidi kwa kutumia vyanzo mbalimbali kuangalia vikosi vya DRC vya mwaka 2004, jina la Fabrice Ngoma halikuwepo katika list hizo zote.

Nahisi Manara alihusika moja kwa moja katika juhudi za kumleta Ngoma pale Yanga, halafu Simba walipomdaka juu kwa juu amebaki na kisirani na kusambaza uzushi ili kumkomoa.
 
Ujue we mleta uzi unatukosea sisi adabu, yaani sie na akili zetu tuanze kumjadili manara.

Tutake radhi ni bora ungetutusi kuliko hiki ulichofanya.
Halafu kabisa na akili zako timamu manara karopoka nawe ukaenda kufatilia 😂🤣

Cr7 alicheza euro 2004 mpaka leo anacheza national team sasa ajabu itakuwa nini hata kama alicheza.
 
Manara mi nilishampuuzia siku nyingii..
Huyo alisema Utopolo wenye akili ni 2 leo yupo huko huko...

Huyo aliesema kombe la CL ni la losers yeye ndo alikua anashangilia mpk kamasi zinamtoka yanga walipofika final

Huyo anaeona wenzie wazinzi wakati yy ni mchicha mwiba..na juzi kadukuliwa ananyonyeshwa...
 
Tafuta rekodi za Manara utaambiwa...
Kuanza kusaka habari za manara ni upotevu wa muda kwa kweli.. Kama we umeshuhudia inatosha na umethibitisha kile akili yangu imekuwa ikihisi miaka nenda miaka rudi.

Mtoto wa kiume ukiwa chawa, kazi kuoamba pamba wanaume wenzio wanahela, utatafunwa tu. Chawa na uchoko kuna kauzi kembamba mnoo ndio kametenganisha hapo kati.
 
Swadaktaaaa.....
 
Ujue we mleta uzi unatukosea sisi adabu, yaani sie na akili zetu tuanze kumjadili manara.

Tutake radhi ni bora ungetutusi kuliko hiki ulichofanya.
Halafu kabisa na akili zako timamu manara karopoka nawe ukaenda kufatilia

Cr7 alicheza euro 2004 mpaka leo anacheza national team sasa ajabu itakuwa nini hata kama alicheza.
Kwa maana hii kumbe Manara yupo sahihi sijajua mleta Uzi anachopinga/kuumia n kitu gani
 
Mleta uzi amesema kwenye rekodi hayo mashindano anayosema ngoma alicheza, hiyo timu yake ya taifa haikushiriki sasa alimuonaje anacheza..
Useme mie uliniona world cup 2018 nikiwa na taifa stars, wakati hata kwenye rekodi taifa stars haikucheza mwaka huo.
 
Ujue we mleta uzi unatukosea sisi adabu, yaani sie na akili zetu tuanze kumjadili manara.

Tutake radhi ni bora ungetutusi kuliko hiki ulichofanya.
Halafu kabisa na akili zako timamu manara karopoka nawe ukaenda kufatilia 😂🤣

Cr7 alicheza euro 2004 mpaka leo anacheza national team sasa ajabu itakuwa nini hata kama alicheza.

Kwa maana hii kumbe Manara yupo sahihi sijajua mleta Uzi anachopinga/kuumia n kitu gani
Kwa umri rasmi wa Ronaldo hilo halina shida maana alikuwa na umri anaoweza kucheza na evidence zipo ila kwa umri rasmi wa Ngoma, mwaka 2004 alikuwa na miaka 10. Pia ukishaingia kwenye mifumo rasmi ya CAF/FIFA hauwezi tena kuchakachua umri.
 
Ngoma ana miaka 29 na kwa majukumu ya kucheza kama Diffensive midfield pale msimbazi lazima aonekane mzee.
Ngoma nafasi yake ni CDM na si Holding kwenye timu.
Kitendo Cha kutumika kama Holding ndicho kinachofanya Simba Kila mechi waruhusu goli.
Kwanza Hana Kasi, Hana mapafu na maguvu ya kucheza kama Holding, Hana ukatili wa ma Diffensive mind mid field.
Yeye u enjoy kama kiungo mshambuliaji, central midfield na atakupa uwezo wake kwa 100%
Kwa Sasa anacheza kama anamiaka 42 kumbe yupo 29
 
Kwa mara ya kwanza nilimsikia akitoa hizi shutuma mwanzoni kabisa mwa msimu
 
Manara mi nilishampuuzia siku nyingii..
Huyo alisema Utopolo wenye akili ni 2 leo yupo huko huko...

Huyo aliesema kombe la CL ni la losers yeye ndo alikua anashangilia mpk kamasi zinamtoka yanga walipofika final

Huyo anaeona wenzie wazinzi wakati yy ni mchicha mwiba..na juzi kadukuliwa ananyonyeshwa...
Unayo ya Manara akiwa ananyonyeshwa? Ni PM please nami nitaamia Simba rasmi leo kama utanipm. Nitahama Waydad na kuhamia 5imba.
 
Manara mi nilishampuuzia siku nyingii..
Huyo alisema Utopolo wenye akili ni 2 leo yupo huko huko...

Huyo aliesema kombe la CL ni la losers yeye ndo alikua anashangilia mpk kamasi zinamtoka yanga walipofika final

Huyo anaeona wenzie wazinzi wakati yy ni mchicha mwiba..na juzi kadukuliwa ananyonyeshwa...
Simfuatilii ila ndo hivyo content zake zinakujaga kwenye timeline yangu. Ila yule jamaa ni muongo na mnafki aisee
 
Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia.

Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake Ngoma akicheza mashindano ya CECAFA Challenge Cup mwaka 2004 tena akiwa captain wa DRC, akasema kipindi hicho kwa Tanzania captain ni Juma Kaseja na Selemani Matola.

Juzi nilivyosikia anayarudia maneno haya nikasema embu ngoja leo nipoteze muda wangu nione kama huyu mpuuzi yuko sahihi. Zama hizi ni za utandawazi, hauwezi kudanganya watu halafu wakakuangalia tu.

Nikaanza kwa kuangalia Challenge Cup ya 2004, nikakuta DRC hawakushiriki. Nikasema labda alikosea mwaka nikaangalia miaka tofauti ya kipindi hicho, nikakuta miaka yote ya 2000 DRC hawakushiriki kwenye Challenge Cup.

Nikaenda mbali zaidi kwa kutumia vyanzo mbalimbali kuangalia vikosi vya DRC vya mwaka 2004, jina la Fabrice Ngoma halikuwepo katika list hizo zote.

Nahisi Manara alihusika moja kwa moja katika juhudi za kumleta Ngoma pale Yanga, halafu Simba walipomdaka juu kwa juu amebaki na kisirani na kusambaza uzushi ili kumkomoa.
Mbona mnajipa credit zisizokuwa na maana yoyote, Yanga ingemtaka Ngoma kwa akili zako wangeshindwa kumpata? Mashabiki wa Simba mlipoletewa manzoki kwenye mkutano na mkapiga makofi ndipo nilipoona ya kuwa amnazo! Mnadanganywa na viongozi wenu kwamba walimchukua Ngoma airport na nyie mkaunga tela bila ata kuishughulisha kidogo akili yenu!!! Porojo zile ndizo unaleta hapa eti alidakwa juu kwa juu🤔🤔🤔 uyo Ngoma wako pale yanga anachukua namba ya nani labda kwenye first eleven???
Yanga aikuwa na mpango na uyo Ngoma mnayemuona kwenu ni star pale yanga akuwa na nafasi uchezaji wake wa staili ya konokono alikuwa anawafaa nyie mkae mkilijua ilo muache propaganda za kijinga kijinga!
 
Back
Top Bottom