yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

    Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Ronaldo's wife, Georgina Rodriguez wearing a red dress same to Yanga vijora

    Georgia Rodriguez walked the vetements Paris fashion week show wearing a red dress with christiano Ronaldo's iconic number 7.
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC 📆 01.03.2024 🏟 Cairo International 🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿 TimuYaWananchi DaimaMbeleNyumaMwiko Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii Kila la kheri Yanga SC...
  4. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Simba anapambana kuvunja rekodi ya miaka 45 ya Yanga kesho

    Mwaka 1969 na Mwaka 1970 Dare es salaam Young Africans iliweka REKODI ya kuwa timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo yaani convectively 69 na 70 mara zote hizo alikutana na Asante Kotoko ya Ghana. Simba katika papatu papatu zake za robo fainali ambazo nyingi ni za msimu wa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya mnaobeti Al Ahly na Yanga SC leo nawapeni Mzola huu ili mumkamue Kanjibai ( Mhindi ) baadae Usiku

    Al Ahly ( Egpyt ) 1 Yanga SC ( Tanzania ) 6 na Goli 5 atafunga Guede na 1 atafunga Pacome.
  6. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ipi ni comeback ya kibabe zaidi: Simba vs Mufulira Wanderers au hii ya Yanga vs CR Belouizdad

    Mwaka 1979 kulitokea maajabu ya soka ambayo mpaka leo bado hayajaweza kurudiwa katika historia ya soka la Afrika. Simba ilicheza mchezo wa Klabu Bingwa Afrika na timu ya Mufulira Wanderers ya Zambia. Mufulira ilikuwa moja ya timu bora Afrika kipindi hicho. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika...
  7. Mtini

    JamiiForums Tanzania Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

    Huyu jamaa anaitakia nini kolouzidad?
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC tunajiamini na Kutamba Kutwa kwanini huko Cairo tunahaha Mechi yetu na Al Ahly Kesho Mashabiki wao Wasijaze Uwanja?

    Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote. Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

    Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama. Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0 kwa timu ya beloizdad kutoka kwa yanga, bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imetoa adhabu kali kwa...
  10. PD_Magumba

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

    Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024. Musemaji wao anaropoka. Page zao zinaropoka tu. Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira. Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mayele asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga huko Egypt

    Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu. Natoa sababu zifuatazo 1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga. 2. Hakuna...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Motsepe Rais wa CAF, ni boss wa Mamelod na rafiki wa Hersi, Mechi na Yanga QF haipo

    Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50. Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo mamelod na Yanga na Al ahly. Ukiangalia Kwa upande wa Yanga timu ambayo inaweza kumsumbua robo fainali...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kufuzu kwa Yanga ashukuriwe Mo Dewji

    Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba. “Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Yanga ipewe pongezi kwa ubunifu wao katika soka duniani

    Wanajamvi mambo ni vipi Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani. Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu. Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad. Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

    Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni. Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba. Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kikundi cha wahuni

    Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
  18. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Yanga tumuombee Simba afuzu makundi... Itakua faida kubwa sana kwetu

    Ukiachana na kelele za makolo watakazotupigia mtaani ila mi naona ni heri wafuzu, Hawa wydad sio watu wazuri sana wakifuzu kimagumashi wanaweza kucharuka wakafanya maajabu( rejea Yale ya ivory coast afcon) Hawa asec, Simba, mazembe, es Tunis, Petro Luanda tunawamudu vizuri sana.... Hawa tuombee...
  19. Jumong S

    JamiiForums Tanzania FAINALI: Yanga Vs Mamelod Sundowns, nani kulibeba kombe?

    Kwa pira la mtani jana, basi kuna uwezekano wakatinga fainali na ikawa Yanga vs Mamelod. Je, unatupa karata kwa nani? Asee watani jana mlijua kutukomesha. Soka safi lenye matokeo chanya. Lile liPacome, sijui Aziz K asee so nice. Kipa safi kabisa na defence ya maana. Pale kati mliupiga mwingi...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza. Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu. Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika...
Back
Top Bottom