Ahmed Ally: Kufuzu kwa Yanga ashukuriwe Mo Dewji

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.

“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.

“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.

Credit - AyoTv
 
True . But it was the right time for tanzania teams to be known . At i think that chapter is closed now . We now aim at winning the cup .
 
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.

“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.

“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.

Credit - AyoTv
upuuzi...yaani mpk mseme
 
Tangu mwaka 2004 enzi hizo kuna kahama United nakumbuka jezi za simba zilikuwa zimeandikwa METL, hebu tunaomba ndugu msemaji utuambie huyo mwekezaji hapo simba yupo tangu mwaka gani? akijibu mniue
 
Ita waandishi wa habari umuulize unamuulizia humu wakati yeye ameongea live.
 
Ila hii jamaa inajua kucheza na akili za washabiki wa Simba aisee. Kwahiyo hapo tayari ameshaonesha simba ni superior kwa Yanga? Pumbaf sana yaani

Yaani ashukuriwe MO kwa kazi za Yanga, kama ni juhudi za MO kushawishi timu za Tanzania si wangeingia na KMC, Ihefu na Ruvu.

Kwani mdomo wa Ahmed Ally kutamka tu hongereni sana Yanga mmefanya vizuri anaona atakufa au? Yaani kila fanikio la Yanga lazima kulitafutia ka upenyo simba aingie, stupid kabisa.
 
Yaan wanashangilia kuongia robo fainali kama vile wametwaa ubingwa wa CCL, wakati kwa SSC hilo ni jambo la kawaida tu,but kwa wenzetu ni mafanikio makubwa sana. Kweli mbabe wa soka la bongo na Africa ni SSC.
 
Angesema toka azaliwe yeye.Ila sisi wahenga tunajua Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika 1969.
 
Yanga tunawapa furaha mpaka watesi wetu.
Sasa hivi SIMBA hata hawalali wana-iimba YANGA tu.
mpaka kwenye page zao wanaisifia YANGA tu.
Mukiendelea hivi tutapunguza kipigo juu yenu badala ya 5G itakua 4G kama ya mwarabu tu.
 
Tangu mwaka 2004 enzi hizo kuna kahama United nakumbuka jezi za simba zilikuwa zimeandikwa METL, hebu tunaomba ndugu msemaji utuambie huyo mwekezaji hapo simba yupo tangu mwaka gani? akijibu mniue
Kuna muwekezaji na mdhamini, kipindi hicho unachosema mo alikuwa kama nani simba? Ndio unazungumzia kipindi simba anamtoa bingwa mtetezi huko misri?
 
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.

“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na baada ya hapo tukaanza mchakato wa kutawala soka la Afrika, wakati Mohammed Dewji anatengeneza dira ya kutawala soka la Afrika vilabu vingine vilikuwa vimelala usingizi wa pono, vilikuwa haviwazi kushindana Afrika na kusumbua” ——— Ahmed.

“Baada ya miaka mitano ndio na wengine wameamka na wenyewe kutaka kuanza kufanya vizuri, kama Simba SC na Mohammed Dewji tungeendelea kulala basi hadi sasa hakuna klabu yoyote Tanzania ingekuwa na hasira, malengo ya kufanya vizuri kwenye michuano ya Afrika ndio maana nasema robo fainali yao ya kwanza wa kushukuriwa ni Mohammed Dewji ndio aliwaamsha watu kutoka kwenye usingizi, huu ndio ukweli ambao utadumu milele” ——— Ahmed.

Credit - AyoTv
dah kumbe huyu ni mpumbavu kiasi hiki basi sitaishangilia simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan wanashangilia kuongia robo fainali kama vile wametwaa ubingwa wa CCL, wakati kwa SSC hilo ni jambo la kawaida tu,but kwa wenzetu ni mafanikio makubwa sana. Kweli mbabe wa soka la bongo na Africa ni SSC.
Ngoja tufike nusu fainali sijui mtaongea nini tena,huo ubabe wa Simba upo wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom