2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,692
Georgia Rodriguez walked the vetements Paris fashion week show wearing a red dress with christiano Ronaldo's iconic number 7.
Hata hivyo ni mzuri na anastahili kuwa fashionistaSema Hii mama imemuelewa sana jamaa
Mapenzi ya kweli yakikutana na pesa hyo combo hata shetani hawezi tenganishaHata hivyo ni mzuri na anastahili kuwa fashionista
Ss kuna wahuni wanaeza pita na hyo pisi etiMapenzi ya kweli yakikutana na pesa hyo combo hata shetani hawezi tenganisha
Inawezekana lakn sio rahisSs kuna wahuni wanaeza pita na hyo pisi eti