Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni.

Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba.

Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya marekebisha ya kwanza kuna ndumba za mwanzo ziliwekwa simba haikufanya vizuri huo uwanja na ilibondwa goli 5, uwanja ukafungwa tena mara ya pili kuna ndumba zenye nguvu zaidi zimewekwa na jana ukafunguliwa Yanga kamkimbiza sana MWARABU (sio horoya)

Simba ikijiroga wacheze uwanja huo matokeo yanaweza kuwa mabaya, mechi ya derby watapigwa 8 (NANE)
 
Hakuna kitu kama hicho utopolo wamejipanga kutokana na makosa yetu
Tunapokosea kwenye sajili wao wanatumia kama somo
Na hata uwanjani pia team mentality yao iko juu nimeandika kama shabiki huru wa soka
Tuache mambo ya imani za kishirikina mpira ni sayansi na mchezo wa wazi na wenzetu wamefungua hiyo code
Viongzi wa simba wajifunze hapa waache ubabaishaji mashabiki tutalaumu sana wachezaji lakini kosa kubwa linafanywa na viongozi wetu wanajiona wao wanajua kila kitu hawataki ushauri wanasajili damu changa lakini hazitumiki mfano chasambi atakaa benchi mpaka atoke kitambi kama Mo Musa halafu mwisho wa msimu anaachwa hilo kosa
Cha mwisho watanzania wengi hatujui mpira ila mazwazwa wa mpira

utopolo watafika mbali kwenye haya mashindano kwa fighting spirit yao pamoja na timu inavyocheza nakaribisha kukosolewa
 
Ninapokutana na wenye imani za giza kiasi hiki nasiktika sana.

Nadhani haya ni matokeo ya malezi mtu alipokulia, lakini unaweza kuwaepusha watoto wako kwenye janga hili, waelekeze kwenye maisha ya uhalisia ili watumie uwezo wao wa kiakili na kimwili waliopewa na Mungu. Acha kuwakimbiza kwa waganga, acha kuwaaminisha mambo ya uchawi.

IMANI NA MAMBO YA KISHIRIKINA IMEKUWA NI JANGA KATIKA JAMII ZETU. MTU AKIUGUA, AKIANGUKA KIBIASHARA AU AKIKWAMA JAMBO FULANI YEYE ATAKIMBILIA KWENYE USHIRIKINA.

NAYAONA HATA MAKAZINI KWETU JINSI WATUMISHI WALIVYOUKUMBATIA USHIRIKINA.
 
Achana na kwa Mkapa, twende kule Ghana angalia shughuli aliyokutana nayo Medeama kule kwao Ghana. Bila ile goli la Kibabage lililokuwa halali kukataliwa leo Yanga ingekuwa imeshafuzu tokea mechi ya nne tu. Utaki kukubali kiwangi bora cha Yanga unakuja na nyuzi kibao ni jinsi gani unavyoteseka na Yanga.

Uzi wako wa kwanza baada ya matokeo ya Belouizdad vs Al Ahly ukasema Yanga imetoka rasmi mashindanoni

Baada ya kushinda jana Yanga kwa kishindo ukaja na uzi mwingine kuwa hujui Yanga anafuzu vipi wakati atafungwa kule Cairo

Saivi unakuja na kituko kingine. Wewe ni shabiki wa ajabu sana wa Simba. Usiyejua mpira na pia ushabiki umekuzidi haswa. Unadharirisha hilo jina.
 
Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni.

Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba.

Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya marekebisha ya kwanza kuna ndumba za mwanzo ziliwekwa simba haikufanya vizuri huo uwanja na ilibondwa goli 5, uwanja ukafungwa tena mara ya pili kuna ndumba zenye nguvu zaidi zimewekwa na jana ukafunguliwa Yanga kamkimbiza sana MWARABU (sio horoya)

Simba ikijiroga wacheze uwanja huo matokeo yanaweza kuwa mabaya, mechi ya derby watapigwa 8 (NANE)
Hivi wewe kweli na akili zako fupi kikosi ulichonacho unalinganisha na kikosi walichonacho yanga? Una kikosi kimejaa wazee na wachezaji unamleta wa unga unga mwana alafu unataka uwezo wa uwanjani ulingane na yanga🤔🤔🤔🤔
Bila kuwa na viongozi Bora wenye kiu ya mafanikio na usajili Bora akuna kitu utafanya, Kila jambo litakuwa gumu kwako na utaanza kuwa na mawazo ya kiibilisi Kama haya na kuachwa kuangalia tatizo lilipo!
 
Hakuna kitu kama hicho utopolo wamejipanga kutokana na makosa yetu
Tunapokosea kwenye sajili wao wanatumia kama somo
Na hata uwanjani pia team mentality yao iko juu nimeandika kama shabiki huru wa soka
Tuache mambo ya imani za kishirikina mpira ni sayansi na mchezo wa wazi na wenzetu wamefungua hiyo code
Viongzi wa simba wajifunze hapa waache ubabaishaji mashabiki tutalaumu sana wachezaji lakini kosa kubwa linafanywa na viongozi wetu wanajiona wao wanajua kila kitu hawataki ushauri wanasajili damu changa lakini hazitumiki mfano chasambi atakaa benchi mpaka atoke kitambi kama Mo Musa halafu mwisho wa msimu anaachwa hilo kosa
Cha mwisho watanzania wengi hatujui mpira ila mazwazwa wa mpira

utopolo watafika mbali kwenye haya mashindano kwa fighting spirit yao pamoja na timu inavyocheza nakaribisha kukosolewa
Mnatubu sasa
 
Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni.

Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba.

Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya marekebisha ya kwanza kuna ndumba za mwanzo ziliwekwa simba haikufanya vizuri huo uwanja na ilibondwa goli 5, uwanja ukafungwa tena mara ya pili kuna ndumba zenye nguvu zaidi zimewekwa na jana ukafunguliwa Yanga kamkimbiza sana MWARABU (sio horoya)

Simba ikijiroga wacheze uwanja huo matokeo yanaweza kuwa mabaya, mechi ya derby watapigwa 8 (NANE)
Kuna shida sehemu fulani kwenye kichwa.
 
Back
Top Bottom