Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho Yanga SC itaibuka na Ushindi mnono na kuwataka wanayanga wote wajazane Uwanjani kuishangilia Timu yao.

Kama kweli DC Jerry Muro una Uchungu na Yanga SC yako ulikuwa wapi Kujitokeza Kuizungumzia, Kuleta kama siyo Kurudisha Hamasa kwa Mashabiki na Wachezaji hadi ujitokeze leo na Kujiita Mkombozi na kwamba una Nywila ( Password ) ya Ushindi ya Yanga SC?

Kwahiyo DC Jerry Muro ulikuwa unasubiri hadi Yanga SC yako ifanye vibaya na Kesho icheze na Gwambina FC ambako mnauhakika wa Kushinda ndipo ujitokeze kama hivi kutafuta Sifa ( Kiki ) kwa wanayanga ambao bahati mbaya wengi Wao wana Hasira na Wewe kweli kweli hasa baada ya Wewe Kugundulika kuwa ndiyo uliyemponza aliyekuwa Mfadhili wenu Yusuph Manji hadi yakampata yale yaliyompata?

Na hakuna Watu ambao nawashangaa kama Viongozi wa Yanga SC ambao leo walikuwepo ( waliambatana ) nae DC Jerry Muro Klabuni Kwao alipokuwa anazungumza na wana Habari. Kwa Kitendo cha Viongozi wa Yanga SC kumkaribisha DC Jerry Muro ni sawa na Kukikaribisha Kirusi cha COVID-17 kinachosababisha Mafua ya Corona kutoka nchini China kuja Tanzania na hasa hasa kujikita sana katika Mitaa ya Twiga na Jangwani yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga.

Najua kuna wale Wavivu wa Fikra kutoka Klabu ya Yanga watafurahia huu urejeo wa Kinafiki na Kizandiki wa DC Jerry Muro ila kwa tunaomjua vyema DC Jerry Muro amejifanya Kujirudisha tena Yanga SC kutokana na Matokeo yake mabaya ili awateke Akili Viongozi kisha awadukue Kiujasusi hawa Wafadhili ( Wadhamini ) wa Yanga SC Kampuni ya GSM kisha akairipoti kwa yule yule aliyempelekea Habari za Yusuph Manji kisha nao GSM yawakute.

DC Jerry Muro leo kawaaminisha wanayanga kuwa Timu yao imekuwa ikifanya vibaya kwakuwa inahujumiwa na Klabu ya Simba huku akisema kuwa kuna Wachezaji wa Yanga SC wanahongwa na Simba SC na kama haitoshi akaenda mbele zaidi na kusema kuwa Timu yake ya Yanga inahujumiwa na Simba SC hasa kwa Kuwekewa Dawa Viwanjani na Mambo ya Kishirikina na kuwataka wanayanga wote kuanzia leo jioni waende Kuulinda Uwanja wa Taifa ambao watauchezea mechi yao ya Kombe la FA Kesho dhidi ya Gwambina FC.

Mwisho kabisa namtahadharisha DC Jerry Muro kwamba japo amejiaminisha huku akiwa na uhakika kabisa kuwa Kesho Yanga SC itashinda kati ya Goli 7 hadi 8 dhidi ya Gwambina FC ila Mimi namwambia kuwa kama kuna Mechi ambayo Yanga SC hawapaswi kwenda na Matokeo mkononi na Kujiamini na Kujiaminisha kuwa watashinda basi ni mechi yao hiyo ya Kesho. Muda utaongea vyema Kesho ila DC Jerry Muro atafute ni wapi atauficha Uso wake kwa Aibu Kubwa.

Na kwakuwa wengine ni Watu wa Mpira tokea Siku nyingi na pia ni Wafukunyuzi wazuri tu wa Matukio, Habari na Mambo mbalimbali na tuko karibu mno na Wachezaji wengi wa hivi Vilabu Vikubwa nimwambie tu DC Jerry Muro kuwa Yanga SC yake inafanya vibaya kwakuwa kuna Mgogoro mkubwa sana ndani ya Wachezaji waliosajiliwa na Wafadhili wao wa Mlango wa nyuma GSM na wale waliosajiliwa na Yanga SC yenyewe kama yenyewe.

DC Jerry Muro ajue ya kwamba wale Wachezaji waliosajiliwa na Wafadhili wao GSM wanalipwa Mishahara na wanapata Posho zao ila wale waliosajiliwa na Uongozi wa Yanga SC wanalia njaa mno Kitendo ambacho kimepunguza sana Ari ya Kiuchezaji baina ya Timu nzima.

Na nasikitika kuona Wachezaji wenyewe wa Yanga SC wakikutana na Sisi Wadau wa Mpira wanatuambia hizi Siri lakini Viongozi wa Yanga SC wanaficha na kwa Kuwapumbaza na kuwafanya wanayanga ni Mambumbumbu leo wameona wamtafute Mtu ambaye angalau anaweza Kupambana na Kujibizana na Msemaji wa Simba SC kwani wamegundua akina Hassan Bumbuli na Bondia Mtanashati asiye na Mkanda wowote Antonio Nugaz wameshindwa ndiyo wakamkaribisha Nyoka mwenye Sumu Kali na Kirusi kilichoisambaratisha Yanga SC ile ya Yusuph Manji Msemaji wao wa zamani DC Jerry Muro ili arudishe Hamasa na Mwamko uliopotea kwani tayari Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga SC wameshaichoka Timu yao na kuna Uwezekano hata Uwanjani pia wasiwe wanahudhuria vile vile.

Yakitokea ya kutokea huko Yanga SC msije kusema Mzukulu sikuwaambia kwani nimeshatoa Tahadhari hii mapema Kwenu.
 
Nugaz, Bambuli, Muro wote wanapambana na De la boss ambaye yeye ni Jeshi la mtu mmoja, wataweza kweliiii Aaaaaa Wapiiiii..!
 
Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho Yanga SC itaibuka na Ushindi mnono na kuwataka wanayanga wote wajazane Uwanjani kuishangilia Timu yao.

Kama kweli DC Jerry Muro una Uchungu na Yanga SC yako ulikuwa wapi Kujitokeza Kuizungumzia, Kuleta kama siyo Kurudisha Hamasa kwa Mashabiki na Wachezaji hadi ujitokeze leo na Kujiita Mkombozi na kwamba una Nywila ( Password ) ya Ushindi ya Yanga SC?

Kwahiyo DC Jerry Muro ulikuwa unasubiri hadi Yanga SC yako ifanye vibaya na Kesho icheze na Gwambina FC ambako mnauhakika wa Kushinda ndipo ujitokeze kama hivi kutafuta Sifa ( Kiki ) kwa wanayanga ambao bahati mbaya wengi Wao wana Hasira na Wewe kweli kweli hasa baada ya Wewe Kugundulika kuwa ndiyo uliyemponza aliyekuwa Mfadhili wenu Yusuph Manji hadi yakampata yale yaliyompata?

Na hakuna Watu ambao nawashangaa kama Viongozi wa Yanga SC ambao leo walikuwepo ( waliambatana ) nae DC Jerry Muro Klabuni Kwao alipokuwa anazungumza na wana Habari. Kwa Kitendo cha Viongozi wa Yanga SC kumkaribisha DC Jerry Muro ni sawa na Kukikaribisha Kirusi cha COVID-17 kinachosababisha Mafua ya Corona kutoka nchini China kuja Tanzania na hasa hasa kujikita sana katika Mitaa ya Twiga na Jangwani yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga.

Najua kuna wale Wavivu wa Fikra kutoka Klabu ya Yanga watafurahia huu urejeo wa Kinafiki na Kizandiki wa DC Jerry Muro ila kwa tunaomjua vyema DC Jerry Muro amejifanya Kujirudisha tena Yanga SC kutokana na Matokeo yake mabaya ili awateke Akili Viongozi kisha awadukue Kiujasusi hawa Wafadhili ( Wadhamini ) wa Yanga SC Kampuni ya GSM kisha akairipoti kwa yule yule aliyempelekea Habari za Yusuph Manji kisha nao GSM yawakute.

DC Jerry Muro leo kawaaminisha wanayanga kuwa Timu yao imekuwa ikifanya vibaya kwakuwa inahujumiwa na Klabu ya Simba huku akisema kuwa kuna Wachezaji wa Yanga SC wanahongwa na Simba SC na kama haitoshi akaenda mbele zaidi na kusema kuwa Timu yake ya Yanga inahujumiwa na Simba SC hasa kwa Kuwekewa Dawa Viwanjani na Mambo ya Kishirikina na kuwataka wanayanga wote kuanzia leo jioni waende Kuulinda Uwanja wa Taifa ambao watauchezea mechi yao ya Kombe la FA Kesho dhidi ya Gwambina FC.

Mwisho kabisa namtahadharisha DC Jerry Muro kwamba japo amejiaminisha huku akiwa na uhakika kabisa kuwa Kesho Yanga SC itashinda kati ya Goli 7 hadi 8 dhidi ya Gwambina FC ila Mimi namwambia kuwa kama kuna Mechi ambayo Yanga SC hawapaswi kwenda na Matokeo mkononi na Kujiamini na Kujiaminisha kuwa watashinda basi ni mechi yao hiyo ya Kesho. Muda utaongea vyema Kesho ila DC Jerry Muro atafute ni wapi atauficha Uso wake kwa Aibu Kubwa.

Na kwakuwa wengine ni Watu wa Mpira tokea Siku nyingi na pia ni Wafukunyuzi wazuri tu wa Matukio, Habari na Mambo mbalimbali na tuko karibu mno na Wachezaji wengi wa hivi Vilabu Vikubwa nimwambie tu DC Jerry Muro kuwa Yanga SC yake inafanya vibaya kwakuwa kuna Mgogoro mkubwa sana ndani ya Wachezaji waliosajiliwa na Wafadhili wao wa Mlango wa nyuma GSM na wale waliosajiliwa na Yanga SC yenyewe kama yenyewe.

DC Jerry Muro ajue ya kwamba wale Wachezaji waliosajiliwa na Wafadhili wao GSM wanalipwa Mishahara na wanapata Posho zao ila wale waliosajiliwa na Uongozi wa Yanga SC wanalia njaa mno Kitendo ambacho kimepunguza sana Ari ya Kiuchezaji baina ya Timu nzima. Na nasikitika kuona Wachezaji wenyewe wa Yanga SC wakikutana na Sisi Wadau wa Mpira wanatuambia hizi Siri lakini Viongozi wa Yanga SC wanaficha na kwa Kuwapumbaza na kuwafanya wanayanga ni Mambumbumbu leo wameona wamtafute Mtu ambaye angalau anaweza Kupambana na Kujibizana na Msemaji wa Simba SC kwani wamegundua akina Hassan Bumbuli na Bondia Mtanashati asiye na Mkanda wowote Antonio Nugaz wameshindwa ndiyo wakamkaribisha Nyoka mwenye Sumu Kali na Kirusi kilichoisambaratisha Yanga SC ile ya Yusuph Manji Msemaji wao wa zamani DC Jerry Muro ili arudishe Hamasa na Mwamko uliopotea kwani tayari Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga SC wameshaichoka Timu yao na kuna Uwezekano hata Uwanjani pia wasiwe wanahudhuria vile vile.

Yakitokea ya kutokea huko Yanga SC msije kusema Mzukulu sikuwaambia kwani nimeshatoa Tahadhari hii mapema Kwenu.
Wewe ni yanga??? Kama siyo Yanga naona unatumia nguvu ngingi Sana....I am just wondering WHY?????!!!!!
 
Huyu jamaa anaongea kwa hisia sana baada ya timu yake kutoa toa sare hovyo,kitu ambacho kinaonekana hafurahishwi nacho. Anadai tayari amekuja na mashabiki waende uwanjani kwa sababu "PASSWORD" ya ushindi yeye alikua nayo na ameileta sasa.

Kesho Yanga inacheza na Namungo anadai ushindi ni lazma utapatikanaje hilo haliwahusu,kocha anapaswa kujua hilo.

Wasi wasi wa baadhi ya wadau wa soka wanasema isije kuwa kaja fungu la kugawa kwa baadhi ya wachezaji wa Namungo? Kumhuka jamaa yupo likizo kwa sasa na katika usemaji wake Yanga ilifanyaga vizuri sana chini ya mnunuzi wa game Manji.

TAKUKURU na uongozi wa Namungo unapaswa kuwa makini sana na game ya kesho. Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho yanga na Gwambina sio Namungo, malizia mbege yako ukalale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hapo

Screenshot_20200225-193058~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom