Saa 10:00 Timu Kuwasili
Saa 10:20 Wachezaji Kushuka kutoka katika Ndege kwa Magoti na Makalio
Saa 10:30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya sana na Wahudhuriaji Uwanjani
Saa 11:00 Golikipa Shikalo Kutemewa Mate na Mashabiki na Kupigwa Masingi
Saa 11:20 Kocha Zahera Kuwambwa Makofi hadi akumbuke...
Leo kuna mtanange wa kukata na shoka kwenye viunga vya Cairo..na hiki ndio kikosi cha Yanga kitakachoanza
======
Waarabu wa Misri Waibana Mbavu Yanga
Kikosi cha Yanga jana kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...
Kabla ya yote niwaambie wale wanaobet wasiwe na hofu kabisa
Moja ya mechi ambayo itawaduwaza washabiki wengi wa soka basi
ni hii ya leo dhidi ya Mwarabu ambaye anaenda kupigwa kwao.
Leo weka hata MKEO Yanga hafungwi abadani. Nitarudi hapa baada ya
mechi. Leo ni siku ambayo Fowadi ya Yanga...
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa..
Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara.
Nilichokua nahisi...
Anaseme kwamba....
" Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi Kukutana nazo tokea ianzishwe ".
Na sijui kwanini anapenda mno Kuirudia hii Kauli kila anapokuwa...
Kumbe Mpira huwa mnaujua sasa kwanini kila Msimu wa Ligi huwa mnapumulia tu Mashine huku mkiwa hatarini Kushuka daraja na badala yake mnabaki tu Kusumbua Waamuzi kwa ‘ Kuwahonga ‘ Pesa zenu kidogo za hapa Mgodini ili mbakie Ligi Kuu?
Ombi Kuu kwenu ni kwamba nawaombeni nyie Mwadui FC kuwa hata...
Kinachoiangusha Yanga ni kutofanya usajili wa maana. Wachezaji waliowasajili wengi hawana viwango kabisa.
Igeni mfano wa jirani zenu wa Simba na Azam, wanapocheza utafurahi kabisa.
Mchezaji kama Ngassa ni wa nini kumsajili? Umri umemtupa na hata mchezo anaouonyesha ni kiwango cha chini...
Mabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya mtoano kutafuta nafasi ya kuingia kwenye hatua ya makundi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho...
Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa Msimu huu Yanga SC hasa baada ya Kusikia kuwa Rafiki yake huyo pamoja na Wenzake wa Simba SC leo...
" Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa mkataba wa miaka miwili mchezaji alie cheza mechi 4 tu msimu mzima bila kumpima afya kwa kisingizio...
Tukiwa tunawaambieni kuwa mna njaa halafu hamna 'wataalam' wa mpira katika klabu yenu ya Yanga muwe mnatuelewa kwani ni aina yenu ya 'ubishi' ndiyo ambayo imekuwa 'ikiwagharimu' na hatimaye mnajikuta mnafanya vibaya katika mechi zenu mbalimbali kisha mnadai Simba SC inabebwa wakati si kweli...
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.