yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 1-3 Express | Kagame Cup. Yanga yaondolewa hatua ya makundi

    Mpira unaendelea 45' Yanga 0 - 2 Express ======== Full Time: Yanga SC 1-3 Express FC (Godfrey 14’) (Muzamiru 35’ Kambale 52’ Paul 71’)
  2. TASK FORCE

    JamiiForums Tanzania Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  3. Fredwash

    JamiiForums Tanzania Devil's Advocate Kwa Mohammed Dewji

    Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo naomba anaejua. Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
  4. hiram

    JamiiForums Tanzania Kumbe Simba mil 380 kwa mwaka Yanga bilioni 40

    Manara kaua leo kwamba kumbe wataniz etu walishaingia nkataba na Azam TV wa pesa kiduchu mil 380 kwa mwaka halafu wanajishaua kuuponda nkataba wa Yanga Afrika na Azam
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa Simba na Yanga sio wale wanaotafutwa Ulaya

    Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama Mkwakwani, Mabatini, Manungu, Kambarage au Lake Tanganyika ujue kuwa huyo ni mchezaji wa kawaida sana...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Dr. Sulle "Mafanikio ya Simba ni sababu ya maneno ya Haji Manara, sio Yanga walikuwa hawana timu''

    Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa watani wao wa jadi Yanga walikuwa hawana timu lahasha. Dr Sulle anaamini #simbasc msimu ujao haitakuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania CAF champion league 21/22: Yanga sajirini ALEX SONG

    Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba. Amechezea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

    Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tunataka Mchukua Manara - Chonde chonde tuacheni huu Upuuzi

    Nimezipata kuwa kuna watu wetu wanaangalia namna ya kumfanya Manara awe msemaji wa Yanga. This is bullshit. Yaani kama kuna jambo la kipumbavu kupata tokea duniani na matusi kwa wanayanga ni hili la kumtegemea manara. Simba nliwashauri waachane na msemaji kilaza,mbumbumbu asiye jielewa...
  12. Cvez

    JamiiForums Tanzania Yanga wapo busy kujadili uwekezaji wa MO halafu msimu ukianza wanaanza kulalamikia TFF

    Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji. By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi kwa kuuza bidhaa zenye nembo ya timu

    Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi ndani ya msimu mmoja.
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  16. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Facts Kesi ya Yanga vs Morrison

    YAMETIMIA Kuna Jambo naliona, Ngao ya Jamii Yanga Kucheza na Azam FC Pasipo Shaka Tanzania inaenda kuandika historia yake katika Mchezo wa Mpira wa Miguu, Ni jambo ambalo wengi hawakutarajia kama linaweza kutokea, Kuna asilimia 80% Sasa kwa Klabu ya Simba kwenda kushuka daraja. Wengi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

    Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nauchukulia ubingwa wa Simba kuwa sadaka ya kumfanya Manara aondoke; alikuwa mwiba kwetu Yanga

    Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka. Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuifuta CHADEMA au CCM ni sawa na kutaka Yanga ishuke daraja ibaki Simba

    Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu. Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho. Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM. Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki...
Back
Top Bottom