Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,554
108,895
a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu ( Faulo ) hiyo akiwa wala hajali?

b ) Kufungwa kwa Goli halali kabisa lililotokana na Kuzubaa Kizembe kwa Wachezaji wa Azam FC ambao leo waliamua si kuja Kucheza Mpira bali ni Kuwajeruhi vibaya Wachezaji wa Simba SC mpaka yule yule waliyemdhamiria Kumuumiza hasa Miquissone akawamaliza rasmi kwa Kuwafunga lililokubalika na Marefa Wastaafu na Wachambuzi wa Mpira wanaojitambua Tanzania na Afrika Mashariki?

c ) Timu yao ( ya Yanga SC ) ambayo rasmi Kesho (Jumapili) inaenda Kuuzwa kwa Wanyonyaji na Wapigaji wakubwa GSM kupitia Injinia Hersi Said na Kuwanyima nafasi ya Uwekezaji Matajiri wakweli, wa uhakika na wenye nia ya dhati akina Yusuph Manji na Rostam Aziz walio tayari Kuwekeza Yanga SC kwa Bilioni 35 hadi 40 huku GSM akiweka ahadi ya Kuwekeza (Kuinunua) Yanga SC kwa Tsh Milioni 500 tu huku akiwa wameshainyonya sana?

d ) Wamlaumu Mwamuzi (Referee) wa Mechi yao ya Jana dhidi ya Biashara United FC kwa Kuwaonea wazi wazi Wachezaji wa Biashara United FC ambapo Wachezaji wa Yanga SC wakichezewa Faulo alikuwa akiziona hata akiwa mbali na eneo ila Faulo walizokuwa wakichezewa Wachezaji wa Biashara United FC ambazo alikuwa nazo karibu kabisa alikuwa hazioni?

Nasubiria Majibu ya wana Yanga mliopo.
 
Sijui umeandika Nini hapa
 
Back
Top Bottom