Yanga mrudisheni Lamine Moro haraka sana, uchochoro wa beki zenu ni mkubwa sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,373
217,434
BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Mnaikumbuka_expansion_joint?”%22_.jpg


Expansion Joint ya Chuo kikuu cha DSM kama mnaikumbuka ndio mfano halisi wa mabeki wa Yanga .

Bila Lamine Moro hawataweza kupata Clean sheet milele, unaweza kudhani Mwamnyeto ni beki bora, lakini ukweli ni kwamba Mwamnyeto ni uchochoro sana, hajitumi kabisa, nadhani lengo lake alipokuwa anakaza pale coastal union lilikuwa kupata nafasi ya kucheza yanga au simba na sasa amefanikiwa na ameamua kuzugazuga tu.

Dawa pekee ya kuiboresha Yanga ni kurudisha Lamine.

Huu ni ushauri tu.
 
Labda asajiliwe beki mwenye kiwango kikubwa kuliko Lamine ila sio kumrudisha huyu mtu! Mechi ya leo wachezaji waliichukulia poa ndio mana ikawa hivi! Kuna haja pia ya kusajili kipa na kutafuta kocha mwingine wa makipa! Razack Siwa amefeli!
 
mwamnyeto pale coast union alikuwa anasaidiwa sana na ibrahim ame ile combination yao ilikuwa nooma sana halafu waambie mwamnyeto aache kudanganya umri Tanga nzima wanajua ana miaka 31 anaingia 32 soon siyo 26
Miaka hata baba yako amedanganya serikalini huko, ilitakiwa awe amestaafu tangu 2015 huko.....Acha mtu atengeneze laifu lake
 
baba yangu ni marehemu mkuu kwani kosa langu nini kusema kadanganya?usije ukakuta mtu kama wewe ulikuwa unamlaumu albert bashite kudanganya elimu na jina halafu leo unamsifia mwamnyeto
Cheti na umri tofauti....vibabu vingapi vipo wizarani huko vilidanganya umri? Mwamnyeto bado anauwezo wa kicheza bila shaka, kifo cha mkewe kilimuathiri tu.

Mshua wako na wangu watakuwa marafiki huko peponi wanapiga story, ngoja tuwaache wapumzike
 
Cheti na umri tofauti....vibabu vingapi vipo wizarani huko vilidanganya umri? Mwamnyeto bado anauwezo wa kicheza bila shaka, kifo cha mkewe kilimuathiri tu.

Mshua wako na wangu watakuwa marafiki huko peponi wanapiga story, ngoja tuwaache wapumzike
mwamnyeto tangu akiwa coast yeye ni sweeper mzuri ila ana matatizo sana ya kukosea Ame ibrahim alikuwa anamfichia makosa mengi ni kwa bahati mbaya ame huko simba keshapotea
Mwamnyeto ni liability sana kama dickson job angekuwa na mwili kama wake ingekuwa habari nyingne
 
mwamnyeto pale coast union alikuwa anasaidiwa sana na ibrahim ame ile combination yao ilikuwa nooma sana halafu waambie mwamnyeto aache kudanganya umri Tanga nzima wanajua ana miaka 31 anaingia 32 soon siyo 26
Au ndio maana kakunjamana sura ?
 
Magoli ya 20m.
Halafu unalaumu centerbacks?
Midfield ndiyo inaiangusha Yanga. Mukoko hana partner ambae wanaweza kucheza wawili wote wakawa wakabaji na washambuliaji au wakaswitch vizuri kati yao.

Wakiwekwa watatu au wanne, ndiyo kabisa kwa sababu Yanga hawana striker mzuri. Wana wingers wazuri lakini striker wa headers ni Sarpong nae haruki.

Solution ni striker mzuri, fullback wa kulia na halfback mmoja zaidi professional. Fei siyo natural halfback. Na la muhimu zaidi msomaji videos. Hii ndiyo tofauti kubwa kati ya Simba na timu nyingine za VPL.
 
Back
Top Bottom