yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Wakati wa uchaguzi pombe, tisheti na kofia hutuchagulia Viongozi

    Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia. Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani” Pengine mateso hayo mnayoyapata ni...
  2. RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  3. M

    Wale mnaosubiria Matokeo ya leo ya Yanga SC na Geita Gold huku mkijua Kocha wao Msaidizi Fred Minziro ni Yanga SC lia lia poleni sana

    Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka...
  4. Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

    makolo mulibwanji Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka nasema hivii watulie dawa iingie
  5. Ahadi za 10M zinatolewa na GSM kupitia viongozi ambao ni Yanga

    Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM. Sina shida wa...
  6. M

    Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

    Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho. Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu...
  7. FT: Kagera Sugar Vs Yanga(0-1) | Ligi kuu Bara | Kaitaba

    Hayawiii Hayawiii, Siku Imewadia, Ni mtanange wa Kukata Na Shoka Katika Ya Kagera Sugar na Yanga, Timu hizi Zinakutana zote zikiwa na Wachezaji Wengi Wapya. Uwanja Mzuri, Teams Nzuri Zikicheza leo Pale Kaitaba Kagera. Je Timu ya Wananchi Itaanza Vizuri Mchezo wake wa Kwanza Wa Ligi Kuu? Au...
  8. M

    Kwa Kitendo cha Kocha wa Kagera Sugar FC Baraza Kupiga Picha leo na Makocha wa Yanga SC Nabi na Kaze, kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    Naomba Mdau yoyote yule mwenye Picha za Makocha wa Timu za Ligi za Ulaya au hata tu za Misri na Afrika Kusini ambao wakiwa wanacheza Kesho yake basi hukutana kwa kupiga stori Mbili Tatu na kama pia Kimchezo huwa inaruhusiwa. Asante sana Kocha Mkuu wa Kagera Sugar FC Baraza kwa Kutuandaa mapema...
  9. A

    Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

    Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio...
  10. Kumbe huyu ustaadh ndio kawabeba Yanga ngao ya jamii

    Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
  11. Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  12. Nimeamini Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo

    Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa wachezaji, makocha, na wadhamini wa timu. Wanagombanisha wachezaji kwa wachezaji, wachezaji na makocha...
  13. Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

    Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
  14. Bundi wa Yanga SC wa Misimu Minne Iliyopita Amehamia Rasmi Msimbazi

    Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC. Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia...
  15. K

    Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  16. Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

    Asalaam Aleykum Dar es Salaam Asalaam Aleykum Tanzania Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla. Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni leo hii ya tar. 25.9.2021 majira ya saa 11:00 jioni nyasi za uwanja wa Mkapa zitashuhudia mpambano...
  17. K

    Sababu ya TFF kuweka viingilio juu mechi ngao ya hisani Simba vs Yanga yabainika

    kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na...
  18. Kesho yanga tunashinda sio chini ya bao mbili

    Yanga in top 3 coach wenye kiwango Cha kimataifa hamsemi Kesho tunashinda Tena kipindi Cha kwanza bao mbili au zaidi. Mmejificha kwenye mgogoro wakati Ni movie ya kutengeneza Kama nyie mlivyotengeneza ya kuelekea kigoma. Kesho mnapigwa za kutosha na mabeki wazee wale Ushauri msiende na...
  19. Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

    Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
  20. C

    Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

    Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…