Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
 
Yanga no nzuri,lakini haionfoi ukweli kuwa Simba bado no nzuri Sako,Banda na Kanute wakitulia na kiingia kwenye mfumo wa kocha Mambo uataku2a sawa!
Logo itakuwa Tamu...hongereni utopolo!
 
Si ndio mnapenda kuona ujinga ujinga wa show off badala ya matokeo.

Na Manara ndiye aliyeleta ujinga huu Simba eti pira biriani.Na mashabiki wengi walivyo maandazi wakabaki kushangilia pasi badala ya ushindi
Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off
 
Ulitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?

Mimi kama shabiki wa simba, nilivyowaona wachezaji wapya naamini watakaa sawa na wataleta faida kubwa sana, it's a matter of time.

Timu zote duniani huuza wachezaji ili kuleta faida, this is business.

Hawa utopolo kutufunga siyo tu kwakuwa chama na Miquissone hawapo, walishatufunga hata wakiwepo, this is derby.

Shabiki maandazi hana uvumilivu, this is a slight transition.
 
Hawa Yanga ni hamnazo wamesahau waliifunga Simba ikiwa na Chama na Miqueson mara mbili cos akili zao ni kama za mbuzi hivi
 
Ulitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?

Mimi kama shabiki wa simba, nilivyowaona wachezaji wapya naamini watakaa sawa na wataleta faida kubwa sana, it's a matter of time.

Timu zote duniani huuza wachezaji ili kuleta faida, this is business.

Hawa utopolo kutufunga siyo tu kwakuwa chama na Miquissone hawapo, walishatufunga hata wakiwepo, this is derby.

Shabiki maandazi hana uvumilivu, this is a slight transition.
At least umeadmit kuwa Kuna slight transition
 
Of course when a key player (Esp. Chama) misses you've to switch to new style and system of playing.

Chama alikuwa injini muhimu kwenye mfumo wa makocha wa simba, inabidi kubadili attacking strategies ili kuwa na style mpya ya kushambulia.
 
Ulitaka wazuiwe kuondoka? Miquissone analipwa karibia Sh milioni 90 Al Ahly, simba ingeweza kumlipa?

Mimi kama shabiki wa simba, nilivyowaona wachezaji wapya naamini watakaa sawa na wataleta faida kubwa sana, it's a matter of time.

Timu zote duniani huuza wachezaji ili kuleta faida, this is business.

Hawa utopolo kutufunga siyo tu kwakuwa chama na Miquissone hawapo, walishatufunga hata wakiwepo, this is derby.

Shabiki maandazi hana uvumilivu, this is a slight transition.
Time will tell kama mpira ni biashara au la. What I know is you can't have both ways.
Keep wachezaji wazuri ubaki na timu nzuri au uza key players upate pesa.
Kupanga ni kuchagua.
 
Hahaaa hadi kina Lwanga wakabaki kucheza rafu tu, mwamuzi kamvumilia hadi kaona aibu mwenyewe
Mnooo🤣

Thadeo hakujua kuwa Fei amemuwekea mitego....na kweli akaiingia...

Simba iliizoea sana Yanga.....imekutana na Yanga mpya.....kazi wanayo!!
 
Time will tell kama mpira ni biashara au la. What I know is you can't have both ways.
Keep wachezaji wazuri ubaki na timu nzuri au uza key players upate pesa.
Kupanga ni kuchagua.
Sawa pesa wamepata....kuliziba ombwe itachukua muda......huku sisi Yanga tukiendelea kuchanja mbuga.....ikifika mwezi wa 11 hakuna TIMU "itakayoomba" kukutana na Yanga katika ligi kuu.....
 
Back
Top Bottom