kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na sintofahamu nyingi. Zipo tarifa kuwa Dstv walitoa ofa kubwa zaidi lakini vigisuvigusu zikafanywa na akina Karia kumpitisha Azam.
Baada ya AZAM kupitishwa (kwa kuwashika mkono wakubwa ) akapendekeza vingilio vya juu kwa lengo kuwa watu wasije uwanjani wengi ila wakanunue vifurushi vya Azam kwani kwa kifurushi cha AZAM cha 20,000 mtu unaangalia mechi na vipindi vingine kwa mwezi, sasa mtu kuliko kulipa 10,000 aende uwanjani bora anunue kifurushi cha 20k aangalie nyumbani mwezi mzima. Hii ni akili y kaiwada saana
Kwanini Azam wamefanya hivi?
Hii kama ni kweli basi kunahitajika kufanyika uchunguzi wa hali ya juu na viongozi wa TFF wachukulie hatau kama hii itakuw imewafaidhia AZAM kupitia Migongo ya viongozi wetu wa TFF

- Azam wana uhakika kwa ving'amuzi ambavyo havijalipiwa kitambo au mwezi huu vikilipiwa leo tu kwa mechi hii wanatengeneza mabilion. Ving'amuzi vingi hasa vya wakazi wa Dar es salaam havihalijipiwa kitambo (soko kubwa la AZAM ni Dar es salaam)
- kuna wateja wapya wa vin'gamuzi watapatikana kwa kutaka kuangalia mechi hii.
- Wadhaminiwa mechi kupitia Azam sio TFF wataongezeka leo
Hii kama ni kweli basi kunahitajika kufanyika uchunguzi wa hali ya juu na viongozi wa TFF wachukulie hatau kama hii itakuw imewafaidhia AZAM kupitia Migongo ya viongozi wetu wa TFF