yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

  2. F

    JamiiForums Tanzania Yanga mnalaana yakuchoma vifaranga wa kenya

    haitawaacha salama
  3. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Yanga kumlilia Morrison

    Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi.. Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena mkakate Rufaa
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ndogo kubalini kufungwa na Simba na Yanga ili mpone.

    Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
  5. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

    Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
  6. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

    Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium! Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aucho ni mchezaji class ya Chama, hawezi kucheza Yanga, msikilizeni Manara anavyosema!!

  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Morrison hakuna anaepaswa kujiuzulu Yanga?

    Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu? 1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa. 2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao. 3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda...
  10. liwaya

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

    Kwa muelekeo ninaouna ✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi... ✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo... ✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda...
  14. Huja

    JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali na TAKUKURU imulikeni NBC Premier League, Pesa za GSM kwa Marefa ili Kuibeba Yanga SC zinaharibu Soka letu

    Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC...
  16. Labani og

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

    Wizara ya habari utamaduni vijana Sanaa na michezo ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema katika kusheherekea mwaka mmoja wa uongozi wa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dkt HUSSEIN ALLI MWINYI walikuwa na mapendekezo ya timu Tatu katika kufanikisha sherehe hizo...
  17. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tutahesabu wachezaji wa NBC premier league watakaoitwa timu za taifa Play off 3rd round WC Qatar 2022

    Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021 mechi zitaanza march 2022 Kutoka ligi yaNBC watawakilishwa na 1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Yanga Wahamasisha Wazanzibari 'Watembelee' Zanzibari

    Bila Kujari Matokeo...! Kipute ni Kati Ya KMKM na Dar Young Africa, hii ni friend Match...! Maofisa Wa Yanga Wakiongozwa na Injinia Hersi na Senzo Wameonekana Wametinga Ule Uzi ulioweka Rekodi Ya Kuwa Uzi wenye Mkataba Mfupi sana Kuwahi kutokea Duniani. Mkataba ulidumu Kwa muda Wa Siku 7 tu...
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

    Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze Pia mwaka...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda awaita wana Yanga Mazuzu

    Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga. Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?! Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE...
Back
Top Bottom