Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho.

Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu Picha nae hata kama akiwa amevalia Jezi za Yanga SC sitojali.

Ana kila Kitu ambacho Kiungo makini na wa Kimataifa anatakiwa awe nacho na si hawa Wengine ambao Sifa yao Kubwa ni Kucheza tu Mirafu ya Kipumbavu na kupatapata Mikadi tu ya Njano na Nyekundu.

Shikamoo Khalid Aucho unanikuna sana.
 
mfano unamtoa nani pale simba ili acheze huyo. hebu niambie huyo aucho anacheza na timu zipi pinzani ili umsfie. mfano luanga, mkude, mzamiru wanapambana na viungo wa al ahly, mazembe, kaizer. sasa aucho anacheza na viungo wa DTB, FRIENDS RANGERS, KAGERA ALAFU UNASIFU
 
Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
 
Hujui Mpira, hujacheza Mpira, hujasomea Ukocha, hujui Kuchambua Mpira na huna Jicho la Kutizama uthamani na uwezo alionao Mtu.

Nasema tena Khalid Aucho anawazidi tena mbali sana Viungo wote waliopo Simba SC na wala sioni Aibu kulisema hili japo sijifichi (sifichi) kuwa Mimi Mightier ni Shabiki lia lia ( kindakindaki ) wa Simba SC.
 
Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa Afrika wakiwemo wale viungo wa mabingwa mara nyingi Afrika yaani al ahly na mabingwa wa pili Afrika yaani tp mazembe na bado wapo kimya. aucho amecheza na viungo gani wa maana. mbona swali rahisi sana
 
Hujui Mpira, hujacheza Mpira, hujasomea Ukocha, hujui Kuchambua Mpira na huna Jicho la Kutizama uthamani na uwezo alionao Mtu...
usimsifie anayekimbia angalia na anayemkimbiza. viungo wa simba wamecheza na kuwafunika viungo wa al ahly na tp mazembe, yaani timu bora za afrika.

Aucho anakabana na viungo wa kagera na friends rangers ambao hata mishahara hawapati unakuja kuongea upupu hapa
 
Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
Ndugu ukikutana na mwana Simba SC anayekataa kuwa Khalid Aucho ni Mchezaji Mahiri na hakuna wa Kumfananisha nae kwa sasa ndani ya Simba SC mtandike Kibao cha maana Nyagoni ( Usoni ) Kwake kisha mwambie Pumbavu kwa Niaba yangu.

Ukiona Mimi namkubali Mtu jua anajua.
 
anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa afrika wakiwemo wale viungo wa mabingwa mara nyingi afrika yaani al ahly na mabingwa wa pili afrika yaani tp mazembe na bado wapo kimya. aucho amecheza na viungo gani wa maana. mbona swali rahisi sana
Wewe unajua aucho mpaka anakuja Yanga alitokea timu gani? Huko alikokuwa unadhan ahajakutana na hao viungo.

Bora unaowasema au unaropoka Kwa mechi alizocheza hapa bongo Tu. Au unadhan aucho alikuwa Uganda Hana timu kama Okwi.

Mpaka timu ya Taifa inamuamini na lwanga wako Hana nafasi kwake unadhan wàganda hawajielewi we makolo muli bwanji.
 
Ndugu ukikutana na mwana Simba SC anayekataa kuwa Khalid Aucho ni Mchezaji Mahiri na hakuna wa Kumfananisha nae kwa sasa ndani ya Simba SC mtandike Kibao...
Acheni ujuha. mbamsifu mtu kwa kucheza na friends rangers.
 
anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa afrika wakiwemo ...
Simba SC Kumkosa Fundi Khalid Aucho Kikosini Kwetu tumethibitisha jinsi gani hatuna Akili.

Unahangaika Kumsajili Kanoute wakati unae anayefanana nae Ndemla au Mkude huku ukiacha ( tena kwa Ubahili ) Mchezaji Mahiri na Fundi Khalid Aucho kwanini tusiitwe Wapumbavu?
 
unakabana na viungo ambao hata mshahara hawapati alafu unasifia.
Hao wanaolipwa mishahara si ndo haohao walikuwepo ngao ya jamii mpaka wakala red card baada ya kuvishwa kanzu na mtoto mdogo au wapi unawasemea.

KwAN Auacho unajua katokea timu gani na huko alikokuwa unadhan alikuwa anakutana na viungo gani mpaka timu ya Taifa ikamuamini kuliko lwanga.
 
Back
Top Bottom