yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Bill

    JamiiForums Tanzania Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

    Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naona haiko sawa, wewe je?

    Wachezaji wa yanga wakiwa wamepanda bodaboda baada ya kuwasili jijini DSM wakitokea Zanzibar
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

    Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah. Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule. Wazee wamesema watafanya...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

    Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

    Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa. Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  9. Little brain

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umekaa kishamba sana

    Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
  10. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Yanga yavuliwa ubingwa wa Kombe la mapinduzi

    Habari ndio hiyo....😁😁🤣🤣🤣😅😅😁😁😁😆😆😆
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Yanga Princess

    Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen. Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4. Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza. Nauliza tatizo ni nini...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa yanga kwenye hili la timu ya wanawake mmelala usingizi wa pono amkeni mnatuaibisha

    Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
  14. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi afisa habari wa yanga Haji Sande Manara?

    Habari Jf Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale Haji yule wa simba aliyehamia...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi. Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni uchawi unaotumiwa kupumbaza akili za vijana Watanzania

    Ndugu wanabodi naweza nisiekewke kirahisi kuhususiana na hii hoja yangu, lakini nimekaa na kutafakari mambo kadhaa: Mijadala inayohusu mpira wa miguu hapa nchini imekuwa mingi na inachukua muda mwingi sana, ina wafuatiliaji wengi na wachangiaji wengi. Na kwa kulifahamu hilo ndio maana...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  18. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

    Heri ya mwaka mpya wanamichezo! Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Yanga hii naifananisha Barcelona ya 2008-2011

    Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11 Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol. Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta. Yanga hii ni bora na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
Back
Top Bottom