yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Moses Phiri akataa ofa ya Yanga, asaini Simba SC

    DEADLINE DAY| MOSES PHIRI TRANSFER 🚨 ↪️The last updates from my sources in Zambia firmly believe Moses Phiri is joining Simba Sports Club of Dar Es Salaam in the summer window ↪️As reported before, Phiri has a pre contract with the Reds of Kariakoo, his side also highly respect the agreements...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

    Wanayanga wanajitapa kuchukua ubingwa mara 27 huku wakituchomekea miaka 1985 1989,1992,1993 na 1998. Miaka hiyo timu zilichochukua ubingwa eidha zikekufa au hazina nguvu tena. Kwa uhalisia yanga yupo na ubingwa mara 22 sawa na simba(ubingwa wa ligi kuu) Yanga kwa sasa hawana kichaka cha kujificha.
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

    Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!? RECORD HII HAPA Dar es Salaam League...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

    "GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union FC tutafungwa Magoli mengi na upo Uwezekano hata baadhi ya Wachezaji wetu wakapata Kadi Nyekundu ili...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga sio watani wa jadi tena, ni haters

    Hawa Utopolo Simba ilipomuuza Chama walipiga domo sana,kwamba Simba imeuza mchezaji muhimu. Sasa limetokea la kutokea leo wanasema Chama amefulia ndo maana amerudi. Hawa ni haters, chuki za kichawi. Mchawi huwa anachukia bila sababu. 🚨Moja ya sababu kubwa zaidi ukiachana na yeye kutoendana na...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga yapinga ujio wa Chama simba, huku ikikenua mimeno ujio wa makambo

    Kweli nimeamini Yanga akili zao zipo kwenye Nyuma Mwiko pekee yake. Jinsi wanavyotumia nguvu nyingi kupinga ujio wa Chama. Kwenye mitandao na vibanda umiza wamejazana mashabiki wa yanga wakimlinganisha mwamba wa Lusaka na digi digi wa Kongo. Hawa wanayanga ya kwao tayari yamewashinda, hawataki...
  8. Little brain

    JamiiForums Tanzania Ni mchezaji gani mpya atakae tambulishwa kesho yanga sc?

    Mimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije akawa yule kijana wa wydad
  9. Bill

    JamiiForums Tanzania Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

    Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Simba SC isingechukua 'Ubingwa' huu wa '2022 Mapinduzi Cup' Yanga SC Kesho ingefanya 'Press Conference' yake?

    Poleni mno Yanga SC na najua huu Ubingwa wa Simba SC Mapinduzi Cup hii ya 2022 Umewaumiza sana tu. Na najua pia kuwa Kesho mmeitisha Mkutano Wenu na Waandishi wa Habari kwa Mkakati wa Kipropaganda zaidi. Hakuna asiyejua kuwa tokea mmetolewa Mapinduzi Cup huko Yanga SC hakulaliki na Mashabiki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naona haiko sawa, wewe je?

    Wachezaji wa yanga wakiwa wamepanda bodaboda baada ya kuwasili jijini DSM wakitokea Zanzibar
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

    Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah. Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule. Wazee wamesema watafanya...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

    Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

    Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa. Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  17. Little brain

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umekaa kishamba sana

    Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
  18. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Yanga yavuliwa ubingwa wa Kombe la mapinduzi

    Habari ndio hiyo....😁😁🤣🤣🤣😅😅😁😁😁😆😆😆
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Yanga Princess

    Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen. Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4. Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza. Nauliza tatizo ni nini...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
Back
Top Bottom