Kuelekea usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji wanne kwa ajili ya kuwapisha nyota wapya watakaosajiliwa.
Wachezaji wanne wanaotajwa kuachana na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba...
Ujinga na tamaa za TFF ndio zinaleta huu mkanganyiko.
Tayari GSM ameshaona kuwekeza Utopoloni ni hasara kwakuwa Utopolo inaishia humu humu, sasa wanajua Ili kupata Faida lazima uweke kitu Simba kwakuwa ndio inaitangaza Soka la Tanzania.. ukizingatia tayari Simba Ipo kwenye makundi ya Shirikisho...
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas...
Wakuu wapenzi wa michezo na burudani na wasalimu kwa jina la kanuni na sheria za mpira.
Leo tarehe 07/12/2021 nimeona mijadala mingi mitandaoni inayohusu udhamini wa GSM na TFF ambao bado kisheria ni mkataba usio fuata taratibu za michezo kama zinavyooainishwa kuanzia FIFA na CAF na hata sheria...
Kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, hiki ndio kikosi changu cha first eleven kutoka Simba na Yanga, Simba wamefanikiwa kupenya wachezaji wanne tu huku Yanga wakiwa na wachezaji 7 kama ifuatavyo
1. Aishi Manula
2. Shabani Djuma
3. Tshabalala
4. Mwanyeto
5. Job
6. Bangala
7. Moloko
8...
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!
Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.
Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika dakika zote 90.
2. Ugonjwa sugu wa Mabeki kutoicheza vyema Mipira ya Juu bado haujapatiwa Tiba ya...
Let me declare my interest,Mimi ni Shabiki wa Yanga Mabingwa mara 27 (in Manara's voice 🤣🤣🤣🤣).
Binafsi huwa napenda sana kuona timu yangu ikipata ugumu kupata point kutoka timu pinzani maana ndo utamu wa Soka.Siyo timu inajipigia tu,Nafurahi pia Simba ikihangaika kupata point toka kwa mpenzani...
Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia.
Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..!
Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.!
Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi..
Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena mkakate Rufaa
Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio..
Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio,
Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium!
Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu?
1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa.
2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao.
3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.