RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,093
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.

RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"

Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.

Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?

B6DB2D85-FC46-443D-973A-2F3C284E3CCB.jpeg
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.

RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"

Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.

Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?

View attachment 1962815

huyo kifutu vipi?

Muulize kwa nini alitaka kupiga shaba na askari kipindi cha meko?
 
Huo ni ukweli dhahiri, licha ya kuwa na msimu mbovu yanga wameongoza kuingia uwanjani kuitazama timu yao ( mbumbumbu atasema haihusiani ivi kwa Tabia zetu watanzania unaweza enda kumuona mpinzani wako)
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.

Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.

Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.

Utopolo kila jambo ni kujifariji.
 
Dogo unafurahisha sana ko unataka nambia mpira wa yanga mwaka jana ulikuwa na burudani (wa kufurahisha zaidi ya simba)

Tanzania lini watu wameanza penda mpira, mbona hao wapenda burudani wameonekana yanga tu na sio mtimbwa, ihefu ama simba

Katana kubali yanga Ina washabiki wengi zaidi
 
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.

Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.

Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.

Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Sasa kwa nn watu hao hao wasiingie mechi za mikia!
 
Kwa hiyoooo?

Ndio watoe pesa kwa timu zinazopambana na Simba?
Makonda alipokuwa akigawa pesa kwa KMC alikuwa anakunya au anaarisha?

Vipi Kiongoz wa TFF alipowaambia Azzam mwaka Jana waikazie yanga wasilegeze walikuwa wanakunya au wanarisha?

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Pambaneni na Hali zenu !!
Mo kafanya uhuni mwingi Sana kwa kumtumia makonda na tff mpaka Manji akapewa mijikesi isiyo na maana ili tu yanga ife..
Aya mpeni kikwete na GSM kesi Sasa tuone wapuuzi wakubwa mnauza unza wachezaji halafu mnakuja kusema mnakamiwa .

Ni hivi mwaka huu kila mtu ashinde mech zake!!
 
Unahalalisha "WALEZI"kutoa milioni 10 na maagizo ya kuvunja watu miguu na pua? embu kuweni na ubinadamu basi hata kama ni kukosa kombe miaka 4 msifike huko..HUO NI UGAIDI KABISA KULIKO HATA LAKI SITA YA MBOWE YA KUNUNUA UNIFORM ZA WALINZI WAKE
Bashite kamwe hakutoa maagizo kmc wawavunje miguu UTOPWINYO ila hela ya wauza mgodoro tumeona masharti yake kuanzia musoma hadi dodoma
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.

RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"

Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.

Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?

View attachment 1962815
Kila Mtanzania mpenda soka analijua hili.

.................Halina ubishi.
 
Back
Top Bottom