yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  2. B

    Je, una tatizo lolote kwenye Computer au Website yako? Niko hapa kwa ajili yako

    Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing Skills nilizonazo :- 1. Html, CSS 2. Javascript 3. PHP & laravel framework 4. Python & Django...
  3. Katika maombi yako usisahau kuwaombea singo maza. Wanapitia magumu mengi katika kuhakikisha wanakula wao pamoja na watoto wao

    Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
  4. Usimuuzie wala kumgawia mtu kadi yako ya kupigia kura

    Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi Mkuu miongoni mwa mambo niliyosikia kutoka kwa baadhi ya watu ni kuwa wameuza kadi zao za kupigia kura kwa koasi cha 5000 mpaka 15000. Mmoja wa aliyekuwa akinisimulia alidai kuwa wakipita watu mitaani wakiwashawishi wauziwe kadi za kupigia kura. Kutokana na...
  5. Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

    Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
  6. Soma haya ujifunze bure katika maisha yako na uyazingatie

    1. Punguza marafiki kwa sababu wapo marafiki ambao wanaweza kua vikwazo vya mafanikio yako na hauwezi kuwajua unapo kua nao na kuishi nao na kula nao unacheka nao na wengine unalala nao wengine hata unajinyima kula ili wale wao lakini ndo namba moja kwa kugeuka kujifanya rafiki huku...
  7. Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
  8. S

    Makonda jiuzulu ulinde heshima yako

    Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi. Jambo la kusikitisha sana tukio la...
  9. Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje. Inapelekea sasa...
  10. Umeshawahi kuwaza/kufanya jambo tofauti katika maisha yako?

    Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 17 nilishawahi kuwaza kujiua sababu niliona kama nateswa au kunyanyaswa. Nilishawahi kufikiria kuacha shule kabisa,kutaka kuishi maisha ya kitaa sababu kichwa kilikuwa kizito alafu hata maisha kwangu sikuyaelewa kabisa. Mawazo ya kuomba dua za utajiri wakati...
  11. Anayekupenda ni huyu hapa katika Maisha yako

    Naona watu dhana ya upendo inawasumbua nadhani sababu ni uhaba wa maarifa. Elewa na fahamu kuwa MTU anyekupenda ni mtu yeyote asiyekutakia mabaya . Kina dada wanalia sana kisa hawaelewi philosophy MTU anaweza kukupa kila kitu kizuri kwa lengo la kukutumia na mwisho kuua focus yako. Elewa...
  12. Aina ya Watu 5 Watakaoharibu maisha yako. Jitahidi kuwaepuka

    1. Mtumiaji: watakupenda tu kadri wanavyoweza kukutumia, lakini punde tu usipowapa tena kile wanachotaka kutoka kwako, walitoweka. 2. Walalamikaji: Wataiba amani yako, furaha kwa kulalamika kuhusu jambo lile lile ambalo hawako tayari kubadilika bali wanataka ubadilike. 3.Walaumiwa...
  13. Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  14. P

    Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    Alhamisi inaendaje wakuu? Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao. Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada...
  15. M

    Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  16. PreGE2025 LGE2024 Swali kwa Kinana, Je haki na uhuru wa uchaguzi huamriwa na Rais?

    Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo. Sikushangaa pale...
  17. Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO KWA NINI UPRINT KWETU? WEKA ORDER YAKO LEO HUDUMA ZETU Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing. Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
  18. Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa. Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia...
  19. Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

    Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba. Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa. Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni...
  20. Ukikutana na abiria anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?

    Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo. Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…