Makonda jiuzulu ulinde heshima yako

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.

Jambo la kusikitisha sana tukio la mtanzania kupigwa mapanga 19 kule Nsimbo Mkoa wa Katavi ulimwambia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo anasubiri nini kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na maagizo aliyotoa kupelekea wananchi kuuawa na kukatwa mapanga 19.

Nimeangalia Mkeka mpya wa MA DC na MA DED machozi yakanitoka kwamba yule DC wa Nsimbo hakutumbuliwa akaachwa hapo hapo na Mkurugenzi wa Nsibo badala ya kuwajibika amehamishiwa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza wakati Makonda ulishauri ajiuzulu.

Nimeona nikushauri Makonda ujiuzulu nafasi yako kwani ziara yako haijazaa matunda na dhuluma ulizozikuta zinahama wilaya ya Nsimbo kuhamia Wilaya ya Magu.

View: https://youtu.be/5mrYXIpQfQ0?si=GS3I34ycAq8SJeMN
 
Sasa kama watu wote waliotuhumiwa na wananchi kuendesha dhuluma kama huyo Mkurugenzi wa Nsimbo amehamishiwa Magu inamaana maumivu ya wana Nsimbo wanahamishiwa Magu.. unadhani ni nani anatakiwa ajiuzulu kama sio yeye Makonda
Ile ziara ilikuwa matemzmbezi tu.....ile nguvu aliyodhani anayo iko wapi?
 
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.

Jambo la kusikitisha sana tukio la mtanzania kupigwa mapanga 19 kule Nsimbo Mkoa wa Katavi ulimwambia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo anasubiri nini kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na maagizo aliyotoa kupelekea wananchi kuuawa na kukatwa mapanga 19.

Nimeangalia Mkeka mpya wa MA DC na MA DED machozi yakanitoka kwamba yule DC wa Nsimbo hakutumbuliwa akaachwa hapo hapo na Mkurugenzi wa Nsibo badala ya kuwajibika amehamishiwa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza wakati Makonda ulishauri ajiuzulu.

Nimeona nikushauri Makonda ujiuzulu nafasi yako kwani ziara yako haijazaa matunda na dhuluma ulizozikuta zinahama wilaya ya Nsimbo kuhamia Wilaya ya Magu.

View: https://youtu.be/5mrYXIpQfQ0?si=GS3I34ycAq8SJeMN

Haha! Makonda na heshima kwenye sentensi moja 😆😆
 
Huo msamiati wa kujiuzulu eti kulinda heshima kwa sasa hauko kabisa kwenye chama cha Mambuzi.
Umezikwa na Mzee Ruksa juzi.
 
yeye alishauri tu na hana maamuz ya mwisho sioni cha kumfanya ajiuzuru
 
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.

Jambo la kusikitisha sana tukio la mtanzania kupigwa mapanga 19 kule Nsimbo Mkoa wa Katavi ulimwambia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo anasubiri nini kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na maagizo aliyotoa kupelekea wananchi kuuawa na kukatwa mapanga 19.

Nimeangalia Mkeka mpya wa MA DC na MA DED machozi yakanitoka kwamba yule DC wa Nsimbo hakutumbuliwa akaachwa hapo hapo na Mkurugenzi wa Nsibo badala ya kuwajibika amehamishiwa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza wakati Makonda ulishauri ajiuzulu.

Nimeona nikushauri Makonda ujiuzulu nafasi yako kwani ziara yako haijazaa matunda na dhuluma ulizozikuta zinahama wilaya ya Nsimbo kuhamia Wilaya ya Magu.

View: https://youtu.be/5mrYXIpQfQ0?si=GS3I34ycAq8SJeMN

Kwa hiyo tatizo lako ni huyo mkurugenzi tu?
 
Mbele ya njaa hawezi jiuzulu am sure. Wanajizulu huko mambele watu wamexaliwa wakakuta baby ana hela hajazimaliza. Kidogo lowasa alikuwa tajiri alijizulu na rostam aliachana na siasa uchwara za kimasikini
 
Suala la kujiudhuru, sio Viongozi wote wataweza.

Records zinaonesha ni Hayati Mzee Mwinyi na Mzee Lowasa pekee ndiyo waliweza kujiudhuru.

Hivi unajua utamu wa kuendeshwa kwenye Viete Mkuu 😅
 
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.

Jambo la kusikitisha sana tukio la mtanzania kupigwa mapanga 19 kule Nsimbo Mkoa wa Katavi ulimwambia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo anasubiri nini kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na maagizo aliyotoa kupelekea wananchi kuuawa na kukatwa mapanga 19.

Nimeangalia Mkeka mpya wa MA DC na MA DED machozi yakanitoka kwamba yule DC wa Nsimbo hakutumbuliwa akaachwa hapo hapo na Mkurugenzi wa Nsibo badala ya kuwajibika amehamishiwa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza wakati Makonda ulishauri ajiuzulu.

Nimeona nikushauri Makonda ujiuzulu nafasi yako kwani ziara yako haijazaa matunda na dhuluma ulizozikuta zinahama wilaya ya Nsimbo kuhamia Wilaya ya Magu.

View: https://youtu.be/5mrYXIpQfQ0?si=GS3I34ycAq8SJeMN

System imejaa majangili tupu
 
Back
Top Bottom