yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ney Wa Mitego You are The True Son Of Your Father. Kwenye hii ngoma yako mpya " Bachelor" umeweza sana kaka. Hakuna swali.

    Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban. A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakisema wapo nyuma yako usigeuke kuwaangalia

    WAKISEMA WAPO NYUMA YAKO USIGEUKE KUWAANGALIA. 1.Utaumia kukuta sura mpya kabisa ndio wapo nyuma yako. 2.Utaumia kukuta wao ndio wa kwanza kukuvutia nyuma. 3.Utaumia kukuta wao ndio mashahidi wako wa kwanza wa uongo. WEWE PAMBANA TU HATA KAMA WALIOSEMA WAPO NYUMA YAKO WATAKUSALITI WOTE...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pigana na Adui mwovu shetani kwenye ndoa yako

    Ndoa ni moja wapo ya shabaha zinazotamaniwa na adui kushambulia kwa mishale ya moto. kwa sababu akifanikiwa kuharibu ndoa, itasababisha uharibifu mkubwa kwa familia na jamii kwa sababu hii ni mara nyingi shetani. hutumia udhaifu wa kibinadamu wa kawaida kushambulia akili ya mwenzi (wivu...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya kura

    Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
  5. Melvine

    JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC (UPDATE)- Timu Yako Ipo Nafasi Ya Ngapi?

    Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo Daktari naongea na vijana, ukipata mwenza wa dini/imani tofauti na yako vunja hayo mahusiano mapema

    Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana. Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa. Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Akiba yako kiasi gani na imekaa muda gani?

    Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu. Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi...
  8. Nahman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ume save vipi jina la mkeo/mumeo/mpenzi kwenye simu yako

    Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako? 😊 good night african beauty Bantu Lady Nyiewengine lolote liwakute😅
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

    TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Habari Ndugu Mobhare Matinyi amka uongeze speed ofisi yako imepoa sana kuelekea uchaguzi

    Mobhare Matinyi nipo hapa kukumbusha majukumu yako ila siyo kushurutisha ukafanye kwa mbinu gani. Napenda kukumbusha kwamba wananchi wanasema ofisi yako haina mchakamchaka wa ubunifu kuelekea uchaguzi. Ofisi imekaa kimya kama wizara ya mambo ya Nje. Hapana changamsha nchi kwa makala na habari...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uko tayari kumchagua tena huyo Mbunge wako 2025?

    Salaam Wakuu, Nina swali hapa Endapo Mbunge wa Jimbo lako atagombea tena, utampigia kura za Ndiyo? Kwanini? Karibuni tufunguke
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  13. ubongofaida

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Company Profile?

    Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji. Ninaweza kukusaidia kuunda Business/Company profile bora itakayovuta wateja wapya, kuimarisha uhusiano na washirika wa biashara, na...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

    Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??. jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana. Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi. Una jiita...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni vipengele gani vya kimkataba vinapaswa kuwekwa unapompa mtu asimamie biashara yako Ili upate faida?

    Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu. Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo yeye ni fundi viatu sasa ana kijiwe chake sehemu nikaona ni center yaani tukiweka viatu vya mitumba...
  16. cacutee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka. Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  18. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  19. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Mwanaume tambua thamani yako

    Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki...
  20. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
Back
Top Bottom