Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
2f5b182c8f5cefef85e59f2c35b0901b.jpg

Too much of something is harmful.

Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa.

Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia. Unakuta mdada kama ni kazini unakuta kuanzia boss hadi boda boda anaeleta chakula kazini ameshapitia nao.

Watu wanapenda ngono ila kuna point ambayo sasa hata mwenyewe kujishtukia kuwa sasa nimezama kwenye maji.

Vp uliwaje kudhibiti hii kitu au rafiki/mke/mme/ndugu aliwezaje pia?
 
View attachment 2922042

Uraibu unaleetwa na Illusion ukiondoa illusion Addiction inaondoka automatic

Ila njia yangu ambayo huwa naitumia kujilinda na uraibu Mimi na familia yangu ni hii hapa.

PPT

P- people
P- place
T- Things

P -hakikisha yale maeneo ambayo hupatikanji wa wanawake wa kushiriki ngono za Mara kwa mara hauendi hayo maeneo.

P- hakikisha unakuwa na marafiki ambao hawana hizo tabia za kupenda Sana wanawake na kuendekeza ngono, yaani kuwa makini na "the people you hang out with"

T- Vitu hakikisha matumizi ya vitu Kama vinywaji au bangi unaweka kipimo au kuacha kabisa. Maana uvutaji wa bangi kupita kiasi unaweza kukuondolea umakini pia vilevile pombe ukizidisha kipimo unaweza kupoteza umakini.

So use PPT is the best way to get rid from addiction as well to Abstain from Addiction.

Stay greatful
 
View attachment 2922042

Too much of something is harmful.

Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa.

Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia. Unakuta mdada kama ni kazini unakuta kuanzia boss hadi boda boda anaeleta chakula kazini ameshapitia nao.

Watu wanapenda ngono ila kuna point ambayo sasa hata mwenyewe kujishtukia kuwa sasa nimezama kwenye maji.

Vp uliwaje kudhibiti hii kitu au rafiki/mke/mme/ndugu aliwezaje pia?
Mmh hii sio addiction navyojua addiction ni uraibu unapenda kufanya hicho kitu kuliko kawaida ungesema mtu anafanya sex sanaaa ila hilo la kupita na na bosi, wafanyakazi wenza hadi bodaboda ni umalaya aisee sio addiction.
 
Back
Top Bottom