Umeshawahi kuwaza/kufanya jambo tofauti katika maisha yako?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,001
Nakumbuka nilipokuwa mdogo wa miaka 17 nilishawahi kuwaza kujiua sababu niliona kama nateswa au kunyanyaswa.

Nilishawahi kufikiria kuacha shule kabisa,kutaka kuishi maisha ya kitaa sababu kichwa kilikuwa kizito alafu hata maisha kwangu sikuyaelewa kabisa.

Mawazo ya kuomba dua za utajiri wakati sifanyi hata kazi hatimae nimekuwa mtu wa kubeti tu.


wewe ni jambo ganni umewahi kulifanya?
 
Back
Top Bottom