Nawaomba Radhi wana Simba wote. Nimekosa mimi, nimekosa sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Mara nyingi nimekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa.

Nmegundua nitapata ugonjwa wa moyo bure na kufa kwa kihoro. Tubaki kutaniana matches za ndani. Za nje nakubali Simba ni Team kubwa kwa Afrika zama Hizi.

Mniwie radhi Watanzania wenzangu. Na ile ahadi ya kuwa kama simba ingeshinda leo ngempa mtu ujauzito bure. Nipo tayari kuitimiza. Mwanadada jitokeze tuma picha zako nikuone na uwe tayari kupimwa afya na akili.

Yanga tuna mengi ya kujifunza toka kwenu Simba. Inatosha mimi kusema Hongereni sana Bhanyambala.
 
Tuombe tu wapangwe na Mamelod hatua ya robo fainali huenda tukafarijika! Mi timu ya kiarabu na ile ya Congo imekuwa utopolo siku hizi! Hapa kwa Ben Mkapa mikia wamefukia nini?
Hiyo hata ukiomba huku umeminya makende haiwezi kutokea Simba kukutana na mamelod robo fainali coz wote ni group winners

Alafu hivi utopolo mna nn..mbn mmeshupaza shingo hamtaki kukubali kwamba Simba sasa siyo level ya timu yoyote hapa East Africa

Na nyie si mloge basi hapo Kwa Ben Mkapa ili msifungwe na biashara

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi nmekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa.

Nmegundua ntapata ugonjwa wa moyo bure na kufa kwa kihoro. Tubaki kutaniana matches za ndani. Za nje nakubali Simba ni Team kubwa kwa Afrika Zama Hizi.

Mniwie radhi Watanzania wenzangu. Na ile ahadi ya kuwa kama simba ingeshinda leo ngempa mtu ujauzito bure. Nipo tayari kuitimiza. Mwanadada jitokeze tuma picha zako nikuone na uwe tayari kupimwa afya na akili.

Yanga tuna mengi ya kujifunza toka kwenu Simba. Inatosha mimi kusema Hongereni sana Bhanyambala.
Hahaaaaaaa dah
 
Tuombe tu wapangwe na Mamelod hatua ya robo fainali huenda tukafarijika! Mi timu ya kiarabu na ile ya Congo imekuwa utopolo siku hizi! Hapa kwa Ben Mkapa mikia wamefukia nini?
Aloooooo yaaani naanza kuamini kwa mkapa hatoki mtu kweli sio mchezo
 
Mara nyingi nmekuwa nikijihusisha na kuiombea mabaya club ya Simba. lakini imekuwa kinyume sasa. Naacha hizo habari kwa matches za Kimataifa.

Nmegundua ntapata ugonjwa wa moyo bure na kufa kwa kihoro. Tubaki kutaniana matches za ndani. Za nje nakubali Simba ni Team kubwa kwa Afrika Zama Hizi.

Mniwie radhi Watanzania wenzangu. Na ile ahadi ya kuwa kama simba ingeshinda leo ngempa mtu ujauzito bure. Nipo tayari kuitimiza. Mwanadada jitokeze tuma picha zako nikuone na uwe tayari kupimwa afya na akili.

Yanga tuna mengi ya kujifunza toka kwenu Simba. Inatosha mimi kusema Hongereni sana Bhanyambala.
Wewe ndiye unastahili kutiwa mimba tena uzae mapacha wanne sawa na magoli tuliyowafunga wale wacheza ndombolo ya solo.
 
Back
Top Bottom